Chikumbalanga sukari ya warembo yuko wapi?

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Kuna mwamba kutoka Mbeya anaitwa Chikumbalanga. Mwaka wa 2018-2020 ilikuwa boom kwake. Alijizolea umaarufu na akaanza kupata matangazo ya kibiashara.

Mabeberu wakambrand, akawa hot mjini. Lkn leo hii akaunt zote alizokuwa anatumia hazijulikani zilipo. Iliyopo, post ya mwisho ni muda sasa.

Wapi alipo mwamba huyu?​

 
Juzi nlimuona pale stendi ya tunduma ana gongea juisi.
 
Amezimwa na Ndugai maana ndiye yupo on trending kwa sasa
 
Ila trending ya hawa wachekeshaji ni kwa muda baada ya chiku akaja MC mboneke wa irudiwee kutoka huko Mbeya na sasa yupo wa songea wa ndugu waandishi wa habari
 
Ila tending ya hawa wachekeshaji ni kwa muda baada ya chiku akaja MC mboneke wa irudiwee kutoka huko Mbeya na sasa yupo wa songea wa ndugu waandishi wa habari
Mboneke ana vitu vingi na hahitaji kutengenezwa. Mzee wa waandishi wa habari na Chikumbalanga wanahitaji juhudi za watu wengine ili watusue. Mboneke ni Mc, mchekeshaji, msanii wa comedy, filamu, dalali n.k. Bado atakaa mjini sana na ameanza kuwa mweupe sasa
 
Kweli mboneke anakuja kivingine yaani ana njia nyingi za kutusua mjini.
Dalali tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…