Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria yetu hii inatamka bayana kiwango cha matunzo ni Shilingi Mia moja kwa kila mtoto kwa Mwezi!.
Kwa maneno mengine mtoto baada ya kupita miaka 7 anaweza kurudi kwa baba yake? Kwani sheria ya mwaka 1963 Law of Persons Act inasema kuwa mtoto atakaye zaliwa katika ndoa anakuwa wa baba. Vipi kuhusu sheria za ndoa za dini ya Kiislamu, hazipingani na sheria za Mahakama katika hifadhi ya mtoto?Kwa mujibu wa Sheria yetu ya ndoa ya Mwaka 1971. Kama watoto wana umri wa chini ya miaka 7. Watoto watatunzwa na mama ambapo baba atawajibika kutoa matunzo na visitation right.