The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuka wanajamvi!
Nilidhani ni maskini wa bongo tu wenye roho mbayaaaaaa!
Uchumi wa Chile ulikuwa unapaa kwa kasi ya ajabu. Na kuzalisha tabaka kubwa la middle class kwa serikali kuweka mazingira mazuri ya watu wa uchumi wa, kati kuchukua credit na mikopo kiurahisi.
Corona ilivyopamba moto mambo yamebadilika uchumi umeporomoka watu wameshindwa kulipa madeni kutokana na kupunguzwa kazini an biashara kushuka. Hali imekuwa ya huzuni ndoa zimevunjika nyingi.
Maskini walalahoi sasa wanawadhihaki matajiri na kuwacheka. Wanaishukuru corona imeleta usawa na kupunguza ngebe, nyodo na majivuno.
Ila wimbi la uhalifu na ukahaba umeogezeka sana.
Source: Demu kwenye online dating site