nilikuwa manyoni kwenye utafiti wangu,jamaa hapa hakubaliki kabisa ukitoa kijiji anachotoka cha kata ya chikuyu,alitumia pesa nyingi sana kwenye kura za maoni kufanya hujuma na ametangaza hatagombea tena,hali nya upinzani hapa ni ndogo sana kwani mwamko wa kisiasa hapa manyoni mashariki mdogo tokana na watu kupewa vitisho,na wapinzani kusimamisha wagombea dhaifu,kasheshe lipo manyoni magharibi,jimbo ni la chadema chini ya mgombea wao lupaa,watu hawtaki kusikia hiki chama kizee,hata rais alipokuja walizomea