zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
- Thread starter
-
- #21
kampuni yetu haito kuchaji galama za kusafilisha mashine itakua ndani katika uchimbajiKinampanda,singida-vipi kuhusu equipment mobilization?? Maana makampuni mengine huhitaji gharama za kumove machine zao pia.
Gharama za upimaji wa enkujua kama maji yapo?? Sampling n.k.
kupima kama maji yapo inategemea na wapi ulipo kama pwani ni utaratibu ufuatao report of ground water survey (kabla yakuchimba kisima ) 185,000 physical and chemical water analysis report (badaa ya kuchimba kisima)185,000Kupima ili kujua kama maji yapo au la inagarimu kiasi gani? Plz weka namba za simu pia
kupima kama maji yapo inategemea na wapi ulipo kama pwani ni utaratibu ufuatao report of ground water survey (kabla yakuchimba kisima ) 185,000 physical and chemical water analysis report (badaa ya kuchimba kisima)185,000
Tatizo co namba yasimu tatizo jf wemgi namba ukiweka watu wanafanya masiala ni pm namba yako nitakupigia
wengine tunatumia simu za mkononi pekee kuku Pm haiwezekani, basi weka Physical Adress maana kuna mmoja kasema ni Buguruni sokoni karibu na Mremis Bar kama unaweza kuelekeza zaid itakuwa bora!