Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

Nami nimepewa ushauri huu.hofu yangu kuu ni mafundi wa kuhamishia waya na mifumo ya umeme ikafanya kazi kama gari ilivyokuwa mwanzo,je inawezekana?
cha kujua kwanza ni je body zipo,na bei gani,,mambo ya ufundi,kuna gereji nyingi siku hizi za wachina,hata wabongo hawashindwi kuhamisha engine na gear box,gari nyingi unazoona barabarani engine na body sio vile vilivyokuja pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…