Chimbo jipya la kilimo cha mahindi msimu huu

ABBM

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2021
Posts
428
Reaction score
782
Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi.

Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location yote na taratibu zake.
 
Naona unanivuta PM ili uniombe pesa ya kununua chapati mbili na maharage.
Hilo chimbo sina shida nalo maana Mashamba Makubwa Nalima.
 
Mahindi yanastawi kusini Songea, Madaba, Mavanga, Ludewa.

Unafikiri kwanini yule mzungu anaetengeneza mbegu za mahindi na kulisha 30% ya Tz amejichimbia Mavanga?

Kule mahindi unapanda wa1 wa3 yamekomaa.

Madaba na Mavanga sio mahindi tu, Maharage, Viazi vitamu, Nyanya, Tangawizi, Ndizi ndiyo nyumbani, Karanga ni balaa.

Umeona mimi nilivyoifunguka, Kama siku nyingine nyooka direct.

Acha blah! blah! blah!

Kuna mkuu anaitwa Nikifa MkeWangu Asiolewe huwa anatupa machimbo ya kilimo, anawekaa mpaka picha kabisa.
 
Haya Fungua hiyo code!
 
Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi.

Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location yote na taratibu zake.
Funguka mzee utatisaidia sana, sio lazima uweke taarifa binafsi kama number za simu na majina. Ukitaja wilaya au kijiji inatosha.

Unaogopa wasiojulikana???
 
Back
Top Bottom