Naona unanivuta PM ili uniombe pesa ya kununua chapati mbili na maharage.Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi.
Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location yote na taratibu zake.
Sina haja na hata senti ya mtu mkuu. Najiweza kwa kidogo nilichojaliwaNaona unanivuta PM ili uniombe pesa ya kununua chapati mbili na maharage.
Hilo chimbo sina shida nalo maana Mashamba Makubwa Nalima.
Matani tu mkuu😁😆😅Sina haja na hata senti ya mtu mkuu. Najiweza kwa kidogo nilichojaliwa
Natamani nifanye hivo ila sitowezaShusha nondo hapa hapa mkuu.
Kwa niniNatamani nifanye hivo ila sitoweza
Naelewa ndio maana umeona likeMatani tu mkuu😁😆😅
Si vema code zitoke kihivo sanaKwa nini
PyeeeeeMwenye nia
Mwenye nia
Bichwa lako baya kutaka ufaidi peke yako mitanzania mingine imejaa ubinafsi tuTeali mkuu cheki pm
Mahindi yanastawi kusini Songea, Madaba, Mavanga, Ludewa.
Unafikiri kwanini yule mzungu anaetengeneza mbegu za mahindi na kulisha 30% ya Tz amejichimbia Mavanga?
Kule mahindi unapanda wa1 wa3 yamekomaa.
Madaba na Mavanga sio mahindi tu, Maharage, Viazi vitamu, Nyanya, Tangawizi, Ndizi ndiyo nyumbani, Karanga ni balaa.
Umeona mimi nilivyoifunguka, Kama siku nyingine nyooka direct.
Acha blah! blah! blah!
Kuna mkuu anaitwa Nikifa MkeWangu Asiolewe huwa anatupa machimbo ya kilimo, anawekaa mpaka picha kabisa.
Haya Fungua hiyo code!
Funguka mzee utatisaidia sana, sio lazima uweke taarifa binafsi kama number za simu na majina. Ukitaja wilaya au kijiji inatosha.Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi.
Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location yote na taratibu zake.
SimanjiroFunguka mzee utatisaidia sana, sio lazima uweke taarifa binafsi kama number za simu na majina. Ukitaja wilaya au kijiji inatosha.
Unaogopa wasiojulikana???