Chimbo la bidhaa kama pipi na chocolate

Chimbo la bidhaa kama pipi na chocolate

okoj

New Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Habari wakuu!
Kwa anaefahamu wapi bidhaa kama pipi chocolate nk zinapatikana maeneo ya dar kwa bei ya jumla... Kama ni kkoo ni mtaa gani?

Asanteni
 
Back
Top Bottom