Chimbo la bidhaa za Mobile Accessories kwa bei ya jumla

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Business as Usual!

Msaada wa haraka unahitajika kupata connection kwa hapa bongo Dar wanapouza bidhaa za jumla za simu kama

*Screen Protectors
*Cover za simu
*Power Banks
*USB Cables / Charges
*Chaja za simu
*Memory Cards

Aluta kontinua!
 
Kariakoo....kunafitina kubwa sanaaaaa juu ya baishara hizo unazosema, umeshawahi kujiuliza maswali yafuatayo?

Je wote wanauza Kariakoo jumla, wanaenda China kweli?
Je wangapi wanaenda China kwa Kariakoo, na kuwauzia wenzake?

Je wanajiita kuuzia jumla je nao wananunua wapi? China au kwa wabongo wenzio
Point NI hiii hapaa, wapo mason wachache hawazidi kumi ndio wanauza jumla, waliobaki wote NI fake Tu......na ili uwajue lazima upelekwe na wakongwe WA biashara hiyo........wakushike MKONO....
 
Biashara za kariakoo ni ngumu zana feki ndio zinatawala

Mi mwanzo nilipata hasara ambayo siji kuisahau kwenye biashara yangu

Ila nilivyo zidi kwenda nilianza kupata kutoka kwa mawakala moja kwa moja ndio nikaanza kuona faida ya kuchukua mzigo hapo
 
Biashara za kariakoo ni ngumu zana feki ndio zinatawala


Mi mwanzo nilipata hasara ambayo siji kuisahau kwenye biashara yangu

Ila nilivyo zidi kwenda nilianza kupata kutoka kwa mawakala moja kwa moja ndio nikaanza kuona faida ya kuchukua mzigo hapo
Na hapoo ndio linapokuja somi la mwam a mmoja anaitwa CONTRORAL.... Kuhusu kumkwepa middleman, japo wengi hawakumuelewaaaa
 
Sio kwamba wanaroho mbaya.....hapanaa biashara inataka uwe hivyo,maana kwenye biashara,mkoa supplier wachache......demand ni kubwa,na pia kwenye biashara wachache wanataka kuwe giant kwenye gemu......ukitaka kujua Futuna ya biashara kamuulize lady jaydee.....jinsi wahindi wauzamaji na juis walivyompiga piniiiiii.....alitaka kuanzisha maji yake hapa dar,..........
Ndio maana wanaomiliki vinyeaji ni ngozi nyeupe Tu.....wachache NI wabongo.......

Unadhani diamond alikuwa mjinga kujipendekeza kwa makonda ili awe mlezi wakeeeeeee.....
 
Kabisa Maana Huwezi kuwafikia Wateja wote Kwa wakati mmoja
 
Mkuu unajua kwa sasa wengine tupo huku mkoani mambo Mengi ya mebadilika walikuwa mawakala zamani saiz wamebadilisha biashara

Lakini pia huku mikoan kuna watu wanaenda China kwa hiyo ukija bei zao zinafanana na za dar tu
 
Mimi Manato a uzoefu wangu, wew unanilalamikia Mimi ndugu, Mimi sijui hayo machimbo.....Naona kama vile unanilalamikia Mimi,....
 
There are billions of ways through which you can get in touch. I suggest the best medium to find them is online and you can find
  • Screen Protectors
  • Phone covers
  • Power Banks
  • USB Cables / Charges
  • Phone chargers
  • Memory Cards
at wholesale prices and you can experience change at shopsavvy by designing it yourself.
 
Hii kitu ni ugonjwa kwetu wabongo. Mbongo kukupa kitu ufanikiwe aisee ni wachache sana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
How to
How to order the product
 
How to

How to order the product
There 6 simple steps to order any product on ShopSavvy. I will explain you with an example. See, If you want to buy Blank Popsocket, here are the steps you should follow.
  1. Choose the product from our wide range of wholesale phone accessories.
  2. Choose the color and packaging you would like.
  3. Select the quantity of your order.
  4. Once you are sure with your order.
  5. We will review the order.
  6. Once your order gets confirmed we will send you the detail of your order by mail.

    Here your order is been placed. this is how you can order and product that is listed on ShopSavvy.
    I hope I solve your Query.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…