PRJ2012
Member
- Oct 10, 2019
- 30
- 25
Nasikia wauzaji wengi wa mapochi ya mtumba Instagram wananunua Karume. Na sisi tunaotaka kuanza biashara ya mapochi tunawapataje watu hao?
Nimewahi kuzunguka kweli Karume lakini nikaambulia patupu. Naombeni muongozo ndugu zangu.
Siku hizi naona kuna wafanyabiashara wengi sana wa pochi za mtumba mtandaoni na wote wana bidhaa nzuri na za kuvutia. Huwa najiuliza wanapopata mzigo. Kama unafahamu sehemu au mtu yoyote ambaye anajua chimbo hata moja la mapochi makali anishirikishe na mimi nianze kupiga kazi