Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

Nicheki pm nikuagizie directly from Dubai
Mtu anataka mzigo kariakoo wewe unaleta habari za Dubai. Kama una biashara halali ya kuagiza mizigo Dubai si uweke hapa hadharani watu waone?

Mzee baba nenda Mtaa wa Agrey Kariakoo uliza duka lolote wakuelekeze maduka ya jumla ya vifaa vya simu, watakuonyesha bila shida. Usiulize mafundi wala wapita njia, nenda straight wenye kiduka kidogo hata cha housing tu watakuonyesha yalipo maduka ya jumla.
 
Mkuu mbona umepanic sana,mimi nilimpa ushauri tu wala sijamvuta shati na kumlazimisha anunue kwangu sasa kulikuwa na haja gani ya kutukanana hapa.

Hata kama kariakoo kuna maduka ya mashemeji zako kulikuwa na haja gani ya kupanic kiasi hicho hali ya kuwa comment haikuhusu wewe.

Au wewe ndio mmoja wapo wa kile kizazi wanasemaga mlizaliwa kwenye guest house ndio maana huwa mnakosa adabu kwa watu msiowajua.
 
Wewe ndio umepanic sasa dubai na china wap kuna vifaa bei rahisi?

Au unataka umzime kijana wetu anaetaka kuanza kujitafutia riziki kwa njia ya kuuza accessories za simu.

Vifaa vingi vya dubai vinatoka china alaf ndio zinakuja huku.
 
wewe ndio umepanic sasa dubai na china wap kuna vifaa bei rahisi?
Au unataka umzime kijana wetu anaetaka kuanza kujitafutia riziki kwa njia ya kuuza accessories za simu.
Vifaa vingi vya dubai vinatoka china alaf ndio zinakuja huku.
Mtoa mada aliulizia kama anaweza kupata vifaa kariakoo,hakuna mahali alitaja China.
Na hata kama ingekuwa hivyo bado hakukuwa na sababu ya kutukanana hii ni biashara mtu anaangalia maslahi yake,akiona bei ya dubai haimlipi si basi ataenda kwengine kwenye bei nafuu.
Sasa huyo kima kilichomfanya akurupuke na kuja kutukana ni kitu gani?
Mimi siwezi kupaniki kwa pimbi asiyejielewa huwa napanic kwa vitu vya maana.
 
Mwamba wewe naona unajieleza sana, na inaonekana wewe ni tapeli kabisa. Toka lini biashara ikafichwa inbox?

Kama una legal business iweke hapa otherwise wewe ni tapeli wa mtandao kama matapeli wengine
 
Ziko nyuzi nyingi tu humu nimeweka wazi matangazo yangu.
Nashangaa unavyotaka mimi nimfuatishe msela mavi kumuwekea tangazo ambalo halimuhusu,itamsaidia nini.
Hata nikimuwekea tangazo haitaongeza kitu wala kupunguza.
 
Wewe jamaa unaonekana ni mxenge sijui...

Pale juu unadai eti Biohazard amekutukana.

Mbona comment yake nzima uliyom-quote sijaona tusi lolote?
 
Dada... Samahan kama nimekukwaza.

Unanikaripia utadhani nimekupa mimba halafu naikataa
Mkuu usitumie nguvu kutafuta wanaume,hata huko mtaani kwenu wapo wengi tu.
Kwani ni lazima nikuchukue mimi tu.
Nasisitiza mimi sitaki mwanamke kwa sasa,nilionao wananitosha.
 
Back
Top Bottom