Chimbo la leather/ngozi

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,340
Reaction score
4,734
Habari wanajukwaa...

Naomba kujuzwa ni wapi nitapata finished leather( ngozi) kwajili ya kutengeneza mabegi, wallets na leather products nyingine....?

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu jitahidi sana watoto wako wasikimbie umande, maana ukikosa elimu umekosa mengi
 
Ni mpya kabisa halafu imetumika miezi mitatu??? Acha udwanzi babuu,.halafu hapa sio instagram kudandia treni kwa mbele...kama una biashara yako fungua uzi wako jukwaa husika...

Usituchoshe tafadhali.
 
Ni mpya kabisa halafu imetumika miezi mitatu??? Acha udwanzi babuu,.halafu hapa sio instagram kudandia treni kwa mbele...kama una biashara yako fungua uzi wako jukwaa husika...

Usituchoshe tafadhali.
Sorry mkuu
 
mkuu mbona unaua post ya mwenzako??
 
Kuna jamaa wanaitwa WOISO nasikia wana kiwanda jaribu kuwatafuta, ni wauzaji wa bidhaa ngozi.
 
T
Habari wanajukwaa...

Naomba kujuzwa ni wapi nitapata finished leather( ngozi) kwajili ya kutengeneza mabegi, wallets na leather products nyingine....?

Natqnguliza shukrani.
 
6jm
Habari wanajukwaa...

Naomba kujuzwa ni wapi nitapata finished leather( ngozi) kwajili ya kutengeneza mabegi, wallets na leather products nyingine....?

Natqnguliza shukrani.
Ny_o6kmmlhgloyll6kj6nlh
 
nicheki mkuu pm nikupe no zangu tuongee mm napiga masai sandals kwa hiyo nauzoefu na maswala ya ngozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…