Mausingizii
Member
- Jul 14, 2022
- 90
- 74
Wasalaam wadau,
Naomba kufahamishwa chimbo la vitu nilivyoelekezwa hapo juu na mtaji wa kuanzia ikiwezekana.
Nahitaji kufungua duka huku DODOMA Ili angalau kamkono kaende kinywan maana changamoto za maisha zinataka mapambano.
Nitafurahi mkinipa mwanga ,mtaji, chimbo na hata maelekezo maana Sina uzoefu.
Nawasilisha wakuu.