Mausingizii
Member
- Jul 14, 2022
- 90
- 74
Pochi unataka kuuza chambuu au?. Nenda kariakoo mtaa wa congo na agrey kuna chochoro pale wanauza pochi.Wasalaam wadau,
Naomba kufahamishwa chimbo la vitu nilivyoelekezwa hapo juu na mtaji wa kuanzia ikiwezekana.
Nahitaji kufungua duka huku DODOMA Ili angalau kamkono kaende kinywan maana changamoto za maisha zinataka mapambano.
Nitafurahi mkinipa mwanga ,mtaji, chimbo na hata maelekezo maana Sina uzoefu.
Nawasilisha wakuu.
Nina list ya machimbo. Njoo inbox nikupe details plus namba za simu.Wasalaam wadau,
Naomba kufahamishwa chimbo la vitu nilivyoelekezwa hapo juu na mtaji wa kuanzia ikiwezekana.
Nahitaji kufungua duka huku DODOMA Ili angalau kamkono kaende kinywan maana changamoto za maisha zinataka mapambano.
Nitafurahi mkinipa mwanga ,mtaji, chimbo na hata maelekezo maana Sina uzoefu.
Nawasilisha wakuu.
Nataka pochi za kisasa za wadada ,ahsante Kwa muongozoPochi unataka kuuza chambuu au?. Nenda kariakoo mtaa wa congo na agrey kuna chochoro pale wanauza pochi.
Viatu nenda narungombe na congo pale mkabala na jengo la Ddc. Nitakuachia namba za ndakilawe