Chimbo la mizani ya mawe (camel)

Chimbo la mizani ya mawe (camel)

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu,

Nauliza wapi ntapata chimbo la wauza mizani kwa jumla, mizani aina ya camel made in India au Galax maana machinga najaribu kuwadadia wamekua wagumu mno kutoa info.
 
Back
Top Bottom