Chimbo la nguo za kiume mtumba kwa Dar

Chimbo la nguo za kiume mtumba kwa Dar

siwacheusi

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
24
Reaction score
11
1.Mashati ya mikono mirefu na mifupi
2.Suruali za kitambaa na cardetis
3.Moka nzuri za kijanja

NOTE; NAOMBA CHIMBO LIWE LA MTUMBA
 
Kuhusu moka ingia soko la karume mule ndani ukizunguka utabahatisha moka kali sana
 
Back
Top Bottom