Chimbo la nguo za watoto miaka 0 moka 3

Chimbo la nguo za watoto miaka 0 moka 3

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
Wadau nahitaji kuchukua wapi naweza kupata nguo za watoto umri 0 mpka 3 special huko kariakoo bei iwe simple maana kuna sehemu nataka niuze
 
Ukiwa unatokea kituo cha polisi msimbazi, unanyoosha na barabara ya kuelekea sokoni, ukifika pale wanaita shimoni....upande wa kulia kuna maduka kibao yanauza nguo za watoto umri huo bei chee sana.
 
saw saw
 
Back
Top Bottom