mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Wana Bodi za jioni,
Nina biashara ya steshenari huko pande za mikoani! Jana nilikua Kariakoo kufunga mzigo! Lakini lile duka ambalo nilikua nanunulia mzigo nilikua nashuhudia muuzaji akiwatuma vijana kunitafutia ream toka katika chimbo ambalo sikua nalijua! Nikahisi kuna chimbo ambalo bei iko chini zaidi maana jamaa alikua ananipiga carton kwa 39,000/=
Naomba kama kuna mdau anajua chimbo la hizi ream anijulishe maana mwezi Novemba nakusudia kuchukua mzigo mkubwa zaidi kwa ajili ya wateja wangu.
Natanguliza shukrani.