mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Next time ukienda, nenda na kijana yoyote, then huyo kijana akae pembeni, we ukishatoa Oda, wakati anatoka kufuata huko wanapochukua, uyo kijana awafuate kimtindo kwa nyuma nyuma atapajua tu.Wana Bodi za jioni, nna biashara ya kasteshenari huko pande za mikoani! Jana nilikua kaariakoo kufunga mzigo! Lkn lile duka ambalo nilikua nanunulia
Ahsante Sana! Wazo zuri Sana.Next time ukienda, nenda na kijana yoyote,then huyo kijana akae pembeni, we ukishatoa Oda, wakati anatoka kufuata huko wanapochukua,uyo kijana awafuate kimtindo kwa nyuma nyuma atapajua tu
Yote yanawezekana! Ahsante sana!Ulitakiwa utumie akili kutoka kidogo kisha unamtia ten huyo anayetumwa ili akuoneshe chimbo, au la anastoo walikuwa wanaenda kuchukua stoo
Aina gani ya ream?Awary Stationary wanauza 35000 kwa carton.
A4Aina gani ya ream?
Ukiwa along Uhuru street/road Kariakoo. Kutokea kwenye junction ya Mwendokasi elekea kama unakwenda Mnazimmoja/Kisutu. Ni kati ya mtaa wa kwanza au wa pili Duka liko mwanzo tu upande wa kulia.Awary Stationary wanauza 35000 kwa carton.
Kwa 30,000/= vp Mkuu, nahitaji mzigo wa kutosha!Ukiwa along Uhuru street/road Kariakoo. Kutokea kwenye junction ya Mwendokasi elekea kama unakwenda Mnazimmoja/kisutu. Ni kati ya mtaa wa kwanza au wa pili Duka liko mwanzo tu upande wa kulia.
Umepewa ramani. Fika mwenyewe dukani, ukaombe hiyo discount.Kwa 30,000/= vp Mkuu, nahitaji mzigo wa kutosha!
Makutano ya mtaa wa Uhuru na NyamweziNi kati ya mtaa wa kwanza
Makutano ya mtaa wa Uhuru na Swahiliau wa pili
Ushauri murua huu.Next time ukienda, nenda na kijana yoyote, then huyo kijana akae pembeni, we ukishatoa Oda, wakati anatoka kufuata huko wanapochukua, uyo kijana awafuate kimtindo kwa nyuma nyuma atapajua tu.
Huyo kijana lazima awe mjanja.pia asiwe mshamba kariakoo aijue vizuri. NIMEMALIZA.Next time ukienda, nenda na kijana yoyote, then huyo kijana akae pembeni, we ukishatoa Oda, wakati anatoka kufuata huko wanapochukua, uyo kijana awafuate kimtindo kwa nyuma nyuma atapajua tu.
Sio kila kitu lazima ujue acha wapate riziki hayo ndio maisha yetu ya kariakorWana Bodi za jioni,
Nina biashara ya steshenari huko pande za mikoani! Jana nilikua Kariakoo kufunga mzigo! Lakini lile duka ambalo nilikua nanunulia mzigo nilikua nashuhudia muuzaji akiwatuma vijana kunitafutia ream toka katika chimbo ambalo sikua nalijua! Nikahisi kuna chimbo ambalo bei iko chini zaidi maana jamaa alikua ananipiga carton kwa 39,000/=
Naomba kama kuna mdau anajua chimbo la hizi ream anijulishe maana mwezi Novemba nakusudia kuchukua mzigo mkubwa zaidi kwa ajili ya wateja wangu.
Natanguliza shukrani.
Nimegugo naona ni 10 pcs.Kwenye carton zinakaa pcs ngapi? Mkoani wanauzaje Kama dar ni 39,000/=?
Nimegugo naona ni 10 pcs.
Kwa hiyo kama ni 39,000 bas pc 1 ni
Na kama ni 30,000 bas pc moja ni 3000.
Mikoani sio chini ya Tshs elfu 7 per pc
Yanapiga hela haya majamaa
Zinakaa pc tano tu mimi huna nanunua 38,000 hapo kongo sijapata chimbo