Chimbo la Ream paper

Boss ama umeamua kwa makusudi kupotosha au ulinunua zamani sana hiyo Double A uliyoweka picha yake Duka zote ikiwepo na hapo ulipotaja wanauza 50,000 na kuendelea
Ream Paper saiz zinazidi kupanda hata hiyo bei ya 39,000 hajakupiga ni bei poa saiz bei ni 38,000 hadi 42,000 kwa karatasi aina nyingine isipokuwa Double A.!
 
Kwenye carton zinakaa pcs ngapi? Mkoani wanauzaje Kama dar ni 39,000/=?
Kwenye carton ni 5 five PC's,huku mkoani ni sh 38,000-40,000,hiyo 39,000 ni kwa ream za double A ambazo zinaaminika kuwa na ubora,huku kwetu mkoani double A carton ni sh 45,000-55,000
 
Kwa 30,000/= vp Mkuu, nahitaji mzigo wa kutosha!
Mkuu naona zimepanda sana rea
Kweli mkuu jana nilikua na wadau wakubwa wa long time wa hizo biashara town wanachapisha vitabu,,
Walikua wanalalamika ream zmepanda sana wao nakujua maduka kote ila wananua kwa 38 ssaiv
 
Mkuu naona zimepanda sana rea

Kweli mkuu jana nilikua na wadau wakubwa wa long time wa hizo biashara town wanachapisha vitabu,,
Walikua wanalalamika ream zmepanda sana wao nakujua maduka kote ila wananua kwa 38 ssaiv
Hiyo 38 ndo double A au zile za kawaida?
 
Kwa wajuzi, natakiwa kuwa na mtaji wa kuanzia carton ngapi ili niagizie mzigo toka China?
Inategemea na karatasi, kuna zingine katoni moja zingine kuanzia 10 kama hizo ream paper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…