Chimbo la Ream paper

Duh! Hii nilikuwa siijui kwa kweli! Unaagiza kwa kupitia njia gani Mkuu?
Unacheck na supply, una muelekeza kwa forwarder wako. Unaweza watumia silent Ocean.

Ukichukua kidogo bei ni kubwa hata kwenye usafiri pia (ila sio kubwa sana) ukichukua container pia bei inakuwa nzuri. Wastani wa kusafirisha karatasi per 1cbm ni $500.
 
Ngoja niwagoogle Hawa silent ocean! Kwa Hali hii Bora kuagizia huko huko duniani tu.
 
Cbm 1 zinakuwa ream ngapi kwa makadirio
 
Supplier wengine bei kwa piece moja (1pack ni ¥12.8 sawa na 4575) sawa na 25,000 kwa carton ila inatakiwa uchukue piece 8,000 sawa na carton 1,600.

Ila ukiongea nae unaweza chukua chini ya hizo pcs.
Duh! So cheap! Nahisi hata ule utitiri wa wauzaji wa vifaa vya stationery pale kariakoo, itakuwa wanatembelea kwa mwendo huu huu!
 
Cbm 1 zinakuwa ream ngapi kwa makadirio
Container ya 20ft inabeba ream 8000 sawa na carton 1600 bila pallets na container ya 40ft ni ream 16000 sawa na carton 8000

So 1 CBM sawa na ream 242 na hizo ream 8000 sawa na 33Cbm .

Pia bei ya kusafirisha wanaweza calculate kulingana na uzito.
 
Ukifanikiwa nijuzs mkuu
 
Kabla hujasema cheap jumlisha na usafiri kwanza [emoji16]
Usafiri sio bei sana carton 1 ni kati ya $10-23 kulingana na uzito/dimensions za package ambazo hutumika ku calculate price kwa cubic meter (CBM)
 
Usafiri sio bei sana carton 1 ni kati ya $10-23 kulingana na uzito/dimensions za package ambazo hutumika ku calculate price kwa cubic meter (CBM)
Ni Kama sijaelewa mkuu
 
Container ya 20ft inabeba ream 8000 sawa na carton 1600 bila pallets na container ya 40ft ni ream 16000 sawa na carton 8000

So 1 CBM sawa na ream 242 na hizo ream 8000 sawa na 33Cbm .

Pia bei ya kusafirisha wanaweza calculate kulingana na uzito.
Pallets ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…