southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Habari wakuu,natafuta chimbo la spare za umeme wa magari kama vile taa,control box ,relays na vingine vinavyohusika na umeme wa magari liwe na bei nafuu ya jumla kwaajili ya kupeleka mikoani hasa Dodoma. Kwa anae jua machimbo hapo dar naomba msaada yawe ya used au dukani kwa bei nafuu.
pia napokea ushauri jinsi ya kuanzana vipi vya kuanza navyo kwasababu mtaji wangu haufika milioni
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
pia napokea ushauri jinsi ya kuanzana vipi vya kuanza navyo kwasababu mtaji wangu haufika milioni
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app