Chimbo la suti kali Kariakoo jamani. Kwa bei poa, nipendeze na mimi

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Nataka nika point kitu kikali, kitu cha suti kwa bei nzuri lakini.
Chimbo gani Kariakoo waungwana?
 
Suti za kariakoo ukifua mara3 zinakua counta suti na sio suti tena, nenda posta suti za kibabe og
Mkuu hamna namna kibongo bongo. Posta bei lazima zimechangamka. Au!
 
njoo ilala kuna mzee wa kikongo man alintolea suti kwa 80k tu kitu kikali mpka leo naweza ingia nayo ikulu.ukienda kkoo jianda kuaa suti baada ya mwez ishafubaa
Nipe namba za huyo mzee wa kikongo aliyekushonea suti kali hiyooo Mzee baba waweza kunitimia kwa namba yangu hii 0655669079/0676240814
 
njoo ilala kuna mzee wa kikongo man alintolea suti kwa 80k tu kitu kikali mpka leo naweza ingia nayo ikulu.ukienda kkoo jianda kuaa suti baada ya mwez ishafubaa
Tafadhari DM namba ya huyo mzee, nimekuwa mhanga wa kupenda sana kuvaa Suti katika kazi zangu
 
njoo ilala kuna mzee wa kikongo man alintolea suti kwa 80k tu kitu kikali mpka leo naweza ingia nayo ikulu.ukienda kkoo jianda kuaa suti baada ya mwez ishafubaa
Mwana ni PM namba za huyo mzee. Fundi wangu siku hizi anazingua sana
 
Back
Top Bottom