Chimbo la Vifaa: Stationeries na Vifaa vya simu

Chimbo la Vifaa: Stationeries na Vifaa vya simu

Superfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
985
Reaction score
2,066
Habari zenu wakuu? Hope mko salama!

Ningependa kufahamu connection ya vifaa na material za stationery kwa bei rahisi ya Jumls kama vile notebooks, counterbooks, pen, na vifaa vingine vingine.

Pia phone accessories kama earphones za bei rahisi, viswaswadu, screen protectors, phone covers, battery, Memory card, flash disk, charger, usb wires n.k.

Naomba mnishike mkono katika hili ndugu, Natanguliza shukrani!!
 
Chimbo la vifaa vya stationary ni kariakoo upande WA juu ya Barabara ya Uhuru ukivuka tu pale mataa ya kariakoo na vifaa vya simu ni upande huo huo wachini ya Barabara kabla hujafika pale mataa ya kariakoo au upande WA kulia WA kituo Cha mwendokasi Msimbazi B ukitokea mhimbili
 
Shukrani sana, itabid nifanye ziara
 
astatioonary ni mataa ya uhuru ukiyavuka kuna ya pili yakekama unaenda kituo cha mwendo kasi cha gerezani ukifika kwenye hayo mataa ya pili mkono wa kushoto ingia kwa hio barabara nakazia baada ya mataa ya uhuru shuka fwata mataa ya pili ukiyafikia ingia barabara ya kushoto ndo mtaa huo.
 
Vifaa vya simu njoo aggrey ama piga 255674846674 earphone, wireless charge, covers, vioo vya cm; memory card,flash, viswaswadu&smartphone jumla pia ukitaka oppo za dubai unapata protector nk
 
Back
Top Bottom