Chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Kariakoo

Chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Kariakoo

Kama kichwa kinavyojieleza, naomba connection ya chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla kariakoo. Nataka kufungua duka huku mkoani. Shukrani
Andika walau bidhaa chache unazotaka nione. Unatakiwa uende mtaa wa gogo na mchikichi au tafuta Instagram kuna jamaa wanajiita kariakoo hardware
 
kalaga baho itabidi tutafutane kamanda nakufwatilia sana nahitaji madini naona umeja ,madini ya machimbo kaka.
Kiasi sana mana haya mambo niliyaacha muda mrefu nimeyarudia kipindi hiki tu.

Hiyo hapo, lete maneno
 

Attachments

  • IMG-20240930-WA0024.jpg
    IMG-20240930-WA0024.jpg
    68.9 KB · Views: 20
Kiasi sana mana haya mambo niliyaacha muda mrefu nimeyarudia kipindi hiki tu.

Hiyo hapo, lete maneno
mwenyewe nlikuwa narung'ombe kwenye simpo 2022 kuna hali nlipitia nataka kurudia hizo harakati kwa sasa najitafuta mkuu. Hao kina exellent, meru, maua,C1,yaung fey, nawapata sana sema nataka nianze kujichanganya na mabo zaidi kaka.
 
Back
Top Bottom