Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,500
- 8,690
ShukraniNyerere Road mkabala na duka la Furniture la Royal.
Shukran sanaNenda mnazi mmoja mtaa mmoja unaitwa Sofia kawawa
Niguse mi niko nao hao jamaaHabari zenu ndigu.zangu
Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?
Mawasiliano?Niguse mi niko nao hao jamaa
Mawasiliano?
Asante mkuuNenda mnazi mmoja mtaa mmoja unaitwa Sofia kawawa
Asante mkuuIlala Bungoni, barabara ya Uhuru nyumba namba 183. Maarufu Max Bar.
Tazara jengo linalofuata baada ya hospital ya DargroupHabari zenu ndigu.zangu
Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?