madame agnes
Member
- Aug 16, 2016
- 30
- 12
Hatujauona mkuuUle uzi wa machimbo hamjauona au ?
Habari wana jf
Nilikuomba naomba kujua machimbo yanapopatikana mapochi/ handbag za mtumba ambazo ni quality grade one ili nikajumie nianze biashara
Msaada please
Asante sanaNenda karume bei ukikuta wamefungua wanaanzia 10000.
Tandika kwenye Mtaa wa masoko anakopatikana chief wa Kauzu fc (macho) hapo kuna minada ya mapochi kila siku kasoro jumapili inaanza saa mbili asubuhi mpk saa tano. Hapo pesa yako ujue kupoint na kucheza na minada