Chimbuko la kabila la Wakurya

Nduguzake na kaoge,yule shoga maarufu mjini


Aiseeeh, hapana.
Atakuwa anajipendekeza kwa kabila iliyotukuka Tanzania nzima na nje ya Tanzania la Wakurya.
 
Hii nimeipenda sana weito
 
ni kweri mura ,sifa mojawapo ya mkurya ni kusema ukweri hata kama mchungu mura tata
 
Kabila LA mkulya
Limetokea kwa mtume Peter Maana alimkata mtu sikio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahaaa huo ni ndugu na kina makonda, masanja, makoye. Sisi tungeshachinja muda mrefu sana
Wakurya Mungu anawaona... yaani mnamkana Delicious Boy hivi hivi!!!
 
Bhoooke wane anthighire umwenee, ichinkwe nu umwene ngothenyaa, amanche numwene ngosoraa, ichinyinyi nu umwene nkohaa, hamwe na abhana ndanyorya inyaanyiiiii

Bhookhe bhooke nakohanchereeee, tohanchane bosweigho mbeee eeeeeh,

mamamaaaa...........
 
Nadhani waafrika himaya yetu kubwa ilikua pale Misri, Ethiopia,Somalia na Sudan. Misri imevamiwa mara nyingi sana toka kaskazini ikafanya hawa waafrika wakimbilie kusini na magharibi. Makabila mengi yanakiri kutokea kaskazini either sudan au Misri.
 
Safi sana. Hv huku Tanganyika hakukuepo na watu maana ukifatilia historia ya kila kabila utasikia wametoka nje.
Hatari ni kwambaa
Ukiendelea kufuatilia sana historia utagundua kwamba
Binadamu wa kwanza alitokea tanzania
Sijui imekaa vp hii
 
Safi sana. Hv huku Tanganyika hakukuepo na watu maana ukifatilia historia ya kila kabila utasikia wametoka nje.
Ni kukosekana kwa watafiti wazawa na badala yake kutegemea historia iliyoandikwa na watafiti wa kigeni au mashirika ya kikoloni. Na inakuwa ngumu kupinga nazo. Watu wengi tayari wanaamini walichofundishwa na kusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…