Chimbuko la maneno

Chimbuko la maneno

Dodoma Demand

Senior Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
130
Reaction score
74
Nini chimbuko la maneno haya mawili:

1. Tafsiri

2. Mawasiliano

Kwa wataalamu wa kiswahili
 
1. Tafsiri inatoka kwa Kiarabu fasr, maana "interpret". Mizizi mingi ya Kiarabu ina "ta" mbele (fikr->tafakari, adhim->taadhima, etc)
2. Mawasiliano ni neno la kibantu. Kutoka zizi wasili (kufika, arrive) inatoka wasilia na wasiliana, kwa maana ya "kufika mtu kwa mtu mwingine".

Sources: MobiTUKI na Swahili Etymological Dictionary
 
Back
Top Bottom