1. Tafsiri inatoka kwa Kiarabu fasr, maana "interpret". Mizizi mingi ya Kiarabu ina "ta" mbele (fikr->tafakari, adhim->taadhima, etc)
2. Mawasiliano ni neno la kibantu. Kutoka zizi wasili (kufika, arrive) inatoka wasilia na wasiliana, kwa maana ya "kufika mtu kwa mtu mwingine".