Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Hii umeweka hapa kwa munasaba gani ?
Nilikwambia Aisha kasema kunyonyesha mtu mzima ilikuwa mara 10 Allah akashusha ikawa mara 5 wewe unasema ni uongo wa wazi sasa wewe na mke mtoto wa Muhammad nani mkweli
Huko mwanzo ulizungumzia aya.

Kadhalika kuhusu la kufutwa hukumu hili nilikueleza wazi huko mwanzo na nikakupa sababu katika Uislamu katika Hadithi na Qur'aan kuna kipengele kiitwacho Naskh wa al Mansukh (Kilicho futwa na kinachofuta)
Au kwa sababu mke wa muhammad mtoto wa miaka 6 Aisha tusiamini ushahidi wake?
Kwanini tusimuani mama yetu ?
 
Kama mnamuamini Aisha , embu jinuni nani kanyofoa Aya za kunyonyesha mtu mzima na kwa nini?
 
Ni vizuri ku assume pia ila tafseer unayoitumia sjajua umeitolea wapi anyway maneno yaliyotumika hapo ni "Hakuna kinachotuzuilia" na si "tumezuia " tafsir halisi ya kiingereza ni hii hapa 👇👇👇👇👇

17:59
"And nothing has prevented Us from sending signs [i.e., miracles] except that the former peoples denied them. And We gave Thamud the she-camel as a visible sign, but they wronged her. And We send not the signs except as a warning."
 
Nikisikia Hafs kwa mujibu wa waislamu ni muongo na muiba kazi za uandishi za watu, ila waislamu walimuamini hivyo hivyo aseme koran aliyokariri waiandike , hakuna matini ya uthuman Dunia nzima , labda uko mbeleni mje muichimbe chini
Muongo kwenye nini ?

Waislamu wanasema Imamu Hafs ni muongo ?

Leo naona umekujana napopataka,huwa nawaona sana mnamjadili imamu Hafs kwa kumuita muongo kwa ujinga wenu. Nachokijua mimi ni kuwa Imamu Hafsi alikuwa dhaifu katika Hadithi ila alikuwa mbobezi katika Qur'aan na hili liko wazi unaweza kuwa mzuri katika fani fulani na usiwe mzuri katika fani nyingine.

Sasa huko kwingine wapi wakati hapa tuko nayo ? Tunaisoma kila siku.
 
Kama mnamuamini Aisha , embu jinuni nani kanyofoa Aya za kunyonyesha mtu mzima na kwa nini?
Kijana tuliza akili nilikuuliza suala la aya ukaleta hadithi inayo onyesha kupunguzwa kwa idadi ya kunyonyesha,hapa unataka aya.

Sasa ndiyo uniambie ni aya gani zilizo nyofolewa ? Usikimbie swali.
 
Kijana huwa unaandika ujinga mpaka nashangaa.
 
Lugha ya kiarabu iliyotumika , refrain ndio neno sahih kwenye translation , Yani tumezuia kutoa miujiza
 
Mungu alimkabidhi Shetani Ayubu amtese na siyo kwamba aliruhusu.
Angalia mstari wa 6 unavyosema:

6BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.
 
Hipo hivi:
Code:
* Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
Makisudio hayo yanabaki yalivyo mpaka pale utakapo leta maandiko yatayoonesha kinyume na hayo.

Code:
* Tunaona Huyu Isa wa Allah alikimbia msalaba , na Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe(Hiki kitendo hakipo kwenye historia yoyote kabla ya Muhammad)
* 
* Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
Yesu mwenyewe alisema hivi:
Mt 12:39-41 SUV

Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona. Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.

1 Andiko hili linathibitisha kutokufa kwa Yesu kwa sababu Yona hakufa alipokuwa ndani ya tumbo la nyangumi.

2 Yesu anasema hao waliomuuliza hawatapewa ishara yoyote,maana yake ni kwamba watu hao wangefichwa mambo yote ya husuyo mnachokiita kifo.
Kwa msingi huo ni wazi Yesu akusurubiwa wala kufa msalabani.
 
Basi mimi pia niamini kuwa Mary Magdalene alikuwa mchuchu wa Yesu ambaye alizaa nae kabisa sindiyo?.
Ebu tujikite kwenye maandiko.
 
Biblia ndiyo mnyama gani tena mkuu?.[emoji2][emoji23][emoji16]
 
YOHANA 20:17 ilishamaliza uchakachuaji wote.[emoji2][emoji23][emoji16]
Yesu ni eti Mungu mwenye Mungu!Ujinga huo mnao nyinyi tu wapiga makofi kanisani [emoji41][emoji41][emoji41]

Nilishamaliza kazi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi mimi pia niamini kuwa Mary Magdalene alikuwa mchuchu wa Yesu ambaye alizaa nae kabisa sindiyo?.
Ebu tujikite kwenye maandiko.
Huwa siweki kitu kujifurahisha nina ushahidi wa maandiko yenu

Warak alivyo kufa koran ikasimama kutoka muhammad akajaribu mara kadhaa kujiua
......But after a few days Waraqa died and the Divine Inspiration was also paused for a while and the Prophet (ﷺ) became so sad as we have heard that he intended several times to throw himself from the tops of high mountains and every time he went up the top of a mountain in order to throw himself down,....Sahih al-Bukhari 6982

Badae akapatikana mkristo mwingine akawa anamuandikia
Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him....
Sahih bukhari 3617
 
wavaa kanzu hawawezi kuelewa kwakuwa wamepandikizwa mashetani kichwani na sifa ya shetani ni ubishi

Hivi wanaoongoza kwa mashetani si nyie hadi wachungaji wenu hawana kazi nyingine zaidi ya kupunga na kutoa mapepo? Mara mafuta ya upako, mara keki ya upako ili kutoa mashetani. Vitu hivyo huwezi kuvikuta msikitini.
 
Hivi wanaoongoza kwa mashetani si nyie hadi wachungaji wenu hawana kazi nyingine zaidi ya kupunga na kutoa mapepo? Mara mafuta ya upako, mara keki ya upako ili kutoa mashetani. Vitu hivyo huwezi kuvikuta msikitini.
Na lazima wachungaji wapambane maana Allah anasema hivi
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
YOHANA 20:17 ilishamaliza uchakachuaji wote.[emoji2][emoji23][emoji16]
Yesu ni eti Mungu mwenye Mungu!Ujinga huo mnao nyinyi tu wapiga makofi kanisani [emoji41][emoji41][emoji41]

Nilishamaliza kazi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umecopy aya ambazo kwenye sura hiyo kuna maneno ya Yesu akisema
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
 
Kijana huwa unaandika ujinga mpaka nashangaa.
Onesha ujinga ulipo hapa
Refrain maana yake tumezuia kutoa miujiza
Koran 17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false."

Watu walimbana muhammad kwa nini hana muujiza WOWOTE , Allah akashusha Aya akasema muhammad hana muujiza yeye ni muonyaji tu

13:7 Jalal - Al-JalalaynAnd those who disbelieve say, ‘Why has not some sign been sent down upon him, upon Muhammad (s), from his Lord!’, the like of the staff and the [glowing] hand, or the she-camel. God, exalted be He, says: You are only a warner, one to threaten the disbelievers, for it is not your duty to bring forth signs
 
Biblia ndiyo mnyama gani tena mkuu?.[emoji2][emoji23][emoji16]
Yani Muhammad alipigwa jiwe wakamtoa meno ya mbele yote , hapa nilikuwa nasoma zangu hadith nimekuta hii
It was narrated that Sahl bin Sa’d As-Sa’idi said:
“The Messenger of Allah (ﷺ) was wounded on the Day of Uhud. His molar was broken and his helmet was crushed on his head. Fatimah was washing the blood from him and ‘Ali was pouring water on him from a shield....Sunan Ibn Majah 3464
 
Kumbe Wakristo ndio waliombeba Muhammad kwa kumwandikia wahai.
Halafu Leo wanajifanya kuwaita Makafiri.
Hawa mamjamaa ni wa ajabu sana, hata mafundisho Yao hawayafahamu.
Hapo wapo Kimyaa utafikiri hawapaoni.
Uislamu ni janja janja tu hakuna cha maana.
Ukiwa mjanja mjanja tu inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…