Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Nitafute cha nini sasa kama quran zaidi ya asilimia 70 imecopy yaliyoandikwa humo.
 
Nitafute cha nini sasa kama quran zaidi ya asilimia 70 imecopy yaliyoandikwa humo.
Kujibu swali lako ulilouliza.

Ila nafikiri huwezi kuelewa kwa sababu hujajua hata tofauti ya "badirishwa" na "badilishwa".
 
Mkuu nimekuelewa sana. Quran ni ubabaishaji tu
 
Quran 5:47 fafanuzi ((sisi tuliwaamrisha
wafuasi wa issa watu wa injili wakristo..))

Issa ni muislamu inakuaje wafuasi wake ni wakristo?.
Katika Quran wazungumzaji ni wangapi? Ni Allah peke yake au kuna wengine wanazungumza? Na kama wapo ni wakina nani na kwa nini wazungumze kwa niaba ya Allah,je Allah ameanza kuwa na washirika?

Quran 2;121 Allah anasema eti aliwapa watu wa kitab injil na zabur na torat.

Watu wa kitab ni wakina nani?.

Quran 4:171 Allah anawambia watu wa kitaab wasipindukie mipaka katika DINI yao.

Why dini yao? Kuna Dini zaidi ya uislam?.Kwanza inaonekana Allah dini ya watu wa kitabu haimuhusu but ,why isimuhusu wakati yeye ndio anadai aliwapa hivyo vitabu?
 
Sad truth is that, Kugel can never teach/instruct on how to read and understand the scriptures. It is only the Holly Ghost who provide those guidelines. If Holly Ghost is not in the equation then you will never understand the scriptures relying on man knowledge.

1 Wakorintho 2:11-16
[11]Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
For what man knoweth the things of a man, save the spirit of man which is in him? even so the things of God knoweth no man, but the Spirit of God.
[12]Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
Now we have received, not the spirit of the world, but the spirit which is of God; that we might know the things that are freely given to us of God.
[13]Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
Which things also we speak, not in the words which man's wisdom teacheth, but which the Holy Ghost teacheth; comparing spiritual things with spiritual.
[14]Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
But the natural man receiveth not the things of the Spirit of God: for they are foolishness unto him: neither can he know them, because they are spiritually discerned.
[15]Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
But he that is spiritual judgeth all things, yet he himself is judged of no man.
[16]Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
For who hath known the mind of the Lord, that he may instruct him? But we have the mind of Christ.
 
Wewe hata spelling za Holy Ghost hujui,.
 
Al lah ni tapeli. Haeleweki eleweki kama Muddy tu na majini yake.
 
Na hata hao Wayahudi wameibadilisha sana Biblia na walivyoiandika awali si inavyotafsiriwa leo, Biblia na Quran ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na watu wakipambana na mazingira yao, hizi habari za Mungu kuwapo ni za kimapokeo zaidi ya ukweli.
Leta hiyo Biblia ya mwanzo na tujaribu kulinganisha na hii ya sasa ili tuone kama ilibadilishwa.
Pia napenda kujua ni lini Biblia ya mwanzo ilibadilishwa, nani alibadilisha na kwanini?
 
Leta hiyo Biblia ya mwanzo na tujaribu kulinganisha na hii ya sasa ili tuone kama ilibadilishwa.
Pia napenda kujua ni lini Biblia ya mwanzo ilibadilishwa, nani alibadilisha na kwanini?
Vitabu vilivyomo katika Biblia ni vitabu ambavyo vimekuwa vikibadilishwa kizazi hata kizazi kwa miaka maelfu na maelfu, unajua kusoma Kiingereza? Umesoma hiyo excerpt ya kitabu cha James Kugel?
 
Hivi wanashinda mitandaoni na google kwa kueneza uzushi na chuki wakidhani kila mtu poyoyo.
Alafu linaelimishwa linashupaza misuli kwa kutetea ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…