HENGAIPINGE LIPUNGE
Member
- Jul 2, 2018
- 8
- 4
CHIMBUKO LA VINA NA MIZANI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI
KURUNZI YA USHAIRI
Kabla ya kujikita katika vina na mizani si budi tukaangalia kwa muhtasari chimbuko la ushairi wa Kiswahili. Licha ya uwepo wa mitazamo kadha wa kadha juu ya suala hili, hoja inayoshamiri kwa kuwa na mashiko ni ile inayosema, ushairi wa Kiswahii umetokana na Waswahili wenyewe ingawa zinaweza kuibuka tofauti juu ya namna ya chanzo au utokeaji wake........
>>>>>>>>>>>>SOMA ZAIDI>>>>>>>