The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga inaonyesha kua walitokea Afrika kaskazini upande wa Mashariki mwa Afrika yaani pande za Ethiopia/Uhabeshi, asili yao kuu waliitwa wa salsha hilo ni neno la kiyahudi ikimaanisha wayahudi wa kale ambao walichanganyika na wakushi walioondolewa uyahudi wakapelekwa
Ethiopia huko Uhabesh na wakaendelea kusambaa hadi Kenya na kufika hadi ukambaa,
Wakaendelea kusambaa zaidi kusini mwa Kenya na kusukumizwa hadi Kilimanjaro, wachagga hawa walipofika Kilimanjaro walikuta watu wadogo sana waliokua wakiishi hapo au wenyeji wa hapo yaani vimbilikimo au wambuli au vibete au iwakonyigo hawa wana majina mengi sana wachagga hawa walikua na mifugo mingi sana yaani ilikua ni kundi kubwa la wachagga wakihama na kuweka makao yao hapo Kilimanjaro,
Vimbilikimo hivo walipowaona watu hao wakubwa kuliko wao waliondoka na kuogopa na wakaenda upande wa Kongo yaani walikimbilia misitu ya Kongo. Kipindi wakoloni walipofika Kilimanjaro waliwaita chaka sababu walitengeneza vibanda vya mifugo yao vichakani ndipo baadae wakaitwa chagga, sababu nyingine ya wachagga kufika hapo Kilimanjaro ni kutafuta malisho.
Baadae sana wachagga walikua na umoja na mafanikio makubwa kabla hata ya uhuru na ilikua watengeneze serikali yao. Wazungu walipo panga njama za kuligawa bara la Afrika yaani scramble for Africa au Rape of
Africa walitumwa watu na wakilishi waanze kazi hiyo, walipokuja Tanganyika walikuta wabantu wana serikali yao na ustaarabu wao na walikuta tawala zenye nguvu na mfumo rasmi, moja wapo ikiwa ni tawala na dola la kichagga yaani Chagga State na kiongozi wao Mangi Mkuu.