China Geo Engineering Copration,Inachowafanyia Watanzania ktk malipo.

China Geo Engineering Copration,Inachowafanyia Watanzania ktk malipo.

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Kuna hiyo Kampuni ya China inayotengeneza barabara ya kt ya Arusha mjini mpk Namanga. Na bila shaka WanaJF mmepata kusikia na hata si ajabu wengine mmepata kupita na kuona kazi inavyotendeka. Na ktk ina wa2mishi kibao Watanzania wenze2 walioanza kazi pale tangu ukarabati ilivyoanza mwaka 2007 mpk leo inakaribia kukamilika 2011 wapo ndani ya CGC,Na km mnavyokumbuka ufunguzi ilifanya kibabu kubwa na viongozi wakuu wa nchi zote za East Africa na ilifana kweli km mnakumbuka WanaJF, Cha kunishangaza sana! Swali! Ni kwmb mbona wafanyakazi wa pale hawapewi malipo yaliyo na maslahi sawa na kazi waitendayo? Nilipata kumwona Waziri Mkuu ktk ujio wake akalalamikiwa na wafanyakazi wa hapo ktk ziara yake ya ukaguzi ya kwmb hapa ha2na malipo yoyote 2nayopewa zaidi ya mshiko wa gagari wa mwisho wa mwezi na akaahidi atalitendea kazi mpk na leo? Karibia Wachina wanamaliza ziara yao wapeleke mabilioni ya fedha huko kwao wakati wabongo 2meachwa bila chochote cha kusema hata kazi hii ikimalizika nina chochote cha kupata kama kinua mgongo toka ktk kazi yote niliyofanya. Je? Kitengo husika hakuna ya kutetea Ndg ze2 wanaofanya kz pale? WANAJf! NI MAWAZO YANGU TU,Nawakilisha na twendeni pamoja. Asanteni!
 
Hiyo ndio China mnayoisifia kila siku. dhuluma kibao, barabara zenyewe zinaumuka kila siku kama zimewekwa hamira.
 
Hiyo ndio China mnayoisifia kila siku. dhuluma kibao, barabara zenyewe zinaumuka kila siku kama zimewekwa hamira.
Best! Hv umepita karibu ama ni kwamba unajua ni tabia yao tu kwa ulipuaji. Hakika kutokana ninavyoona malori ya Kenya inavyosomba Gas matani kwa matani na ndiyo njia yenyewe ndiyo hiyo nawambia hata mwaka moja hautamalizika serikali tawala itamtafuta Hari Sing aanze naye ukarabati. Na hiyo yote ni maombi ya Ndg ze2 wanaotokwa na jasho na bila ya malipo toshelezi na ukijumlisha na UCHAKACHUAJI wa Kichina.
 
Kuna hiyo Kampuni ya China inayotengeneza barabara ya kt ya Arusha mjini mpk Namanga. Na bila shaka WanaJF mmepata kusikia na hata si ajabu wengine mmepata kupita na kuona kazi inavyotendeka. Na ktk ina wa2mishi kibao Watanzania wenze2 walioanza kazi pale tangu ukarabati ilivyoanza mwaka 2007 mpk leo inakaribia kukamilika 2011 wapo ndani ya CGC,Na km mnavyokumbuka ufunguzi ilifanya kibabu kubwa na viongozi wakuu wa nchi zote za East Africa na ilifana kweli km mnakumbuka WanaJF, Cha kunishangaza sana! Swali! Ni kwmb mbona wafanyakazi wa pale hawapewi malipo yaliyo na maslahi sawa na kazi waitendayo? Nilipata kumwona Waziri Mkuu ktk ujio wake akalalamikiwa na wafanyakazi wa hapo ktk ziara yake ya ukaguzi ya kwmb hapa ha2na malipo yoyote 2nayopewa zaidi ya mshiko wa gagari wa mwisho wa mwezi na akaahidi atalitendea kazi mpk na leo? Karibia Wachina wanamaliza ziara yao wapeleke mabilioni ya fedha huko kwao wakati wabongo 2meachwa bila chochote cha kusema hata kazi hii ikimalizika nina chochote cha kupata kama kinua mgongo toka ktk kazi yote niliyofanya. Je? Kitengo husika hakuna ya kutetea Ndg ze2 wanaofanya kz pale? WANAJf! NI MAWAZO YANGU TU,Nawakilisha na twendeni pamoja. Asanteni!

Mie kwa kweli hua nashangaa malalamiko mengine. Ukiona hupati unachotaka si unaacha kazi, kwani unashikiwa bunduki ama wewe ndo unaenda kuomba kazi na kukubali terms zao.
 
Mie kwa kweli hua nashangaa malalamiko mengine. Ukiona hupati unachotaka si unaacha kazi, kwani unashikiwa bunduki ama wewe ndo unaenda kuomba kazi na kukubali terms zao.
lakini Best? Si kuna haja ya Idara husika kuwajua hawa wafanyakazi ya kwamba wako pale na kuwajali ama kuwatetea ktk malipo? Ama hilo halifai? Idara ya kazi lengo lake kuanzishwa serikalini ni nini haswa?
 
kuna hiyo kampuni ya china inayotengeneza barabara ya kt ya arusha mjini mpk namanga. Na bila shaka wanajf mmepata kusikia na hata si ajabu wengine mmepata kupita na kuona kazi inavyotendeka. Na ktk ina wa2mishi kibao watanzania wenze2 walioanza kazi pale tangu ukarabati ilivyoanza mwaka 2007 mpk leo inakaribia kukamilika 2011 wapo ndani ya cgc,na km mnavyokumbuka ufunguzi ilifanya kibabu kubwa na viongozi wakuu wa nchi zote za east africa na ilifana kweli km mnakumbuka wanajf, cha kunishangaza sana! Swali! Ni kwmb mbona wafanyakazi wa pale hawapewi malipo yaliyo na maslahi sawa na kazi waitendayo? Nilipata kumwona waziri mkuu ktk ujio wake akalalamikiwa na wafanyakazi wa hapo ktk ziara yake ya ukaguzi ya kwmb hapa ha2na malipo yoyote 2nayopewa zaidi ya mshiko wa gagari wa mwisho wa mwezi na akaahidi atalitendea kazi mpk na leo? Karibia wachina wanamaliza ziara yao wapeleke mabilioni ya fedha huko kwao wakati wabongo 2meachwa bila chochote cha kusema hata kazi hii ikimalizika nina chochote cha kupata kama kinua mgongo toka ktk kazi yote niliyofanya. Je? Kitengo husika hakuna ya kutetea ndg ze2 wanaofanya kz pale? Wanajf! Ni mawazo yangu tu,nawakilisha na twendeni pamoja. Asanteni!

fahamu hili, chama cha kikomonist cha china ni wafadhili wakubwa mno wa ccm, so makampuni ya china huku tz hayawezi fanywa chochote, hata hizi tenda wanazo pewa ni fadhila. Hata wamachinga wa kichina pale kariakoo hawawezi fanywa chochote.
 
kawaida huku ughaibuni lami huwa ina utunzaji wake... kipindi cha summer gari linapita kumwagia maji ili ipate kudumu...!! bongo hata akija mjerumani kutengeza barabara zitaaribika tu! kuhusu mishahara midogo sina la kuongezea ila wachina wameshazzoea cheap labors kule kwao... mkomunist yupo radhi alipwe vijisent as long analitumikia taifa
 
Back
Top Bottom