LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Kuna hiyo Kampuni ya China inayotengeneza barabara ya kt ya Arusha mjini mpk Namanga. Na bila shaka WanaJF mmepata kusikia na hata si ajabu wengine mmepata kupita na kuona kazi inavyotendeka. Na ktk ina wa2mishi kibao Watanzania wenze2 walioanza kazi pale tangu ukarabati ilivyoanza mwaka 2007 mpk leo inakaribia kukamilika 2011 wapo ndani ya CGC,Na km mnavyokumbuka ufunguzi ilifanya kibabu kubwa na viongozi wakuu wa nchi zote za East Africa na ilifana kweli km mnakumbuka WanaJF, Cha kunishangaza sana! Swali! Ni kwmb mbona wafanyakazi wa pale hawapewi malipo yaliyo na maslahi sawa na kazi waitendayo? Nilipata kumwona Waziri Mkuu ktk ujio wake akalalamikiwa na wafanyakazi wa hapo ktk ziara yake ya ukaguzi ya kwmb hapa ha2na malipo yoyote 2nayopewa zaidi ya mshiko wa gagari wa mwisho wa mwezi na akaahidi atalitendea kazi mpk na leo? Karibia Wachina wanamaliza ziara yao wapeleke mabilioni ya fedha huko kwao wakati wabongo 2meachwa bila chochote cha kusema hata kazi hii ikimalizika nina chochote cha kupata kama kinua mgongo toka ktk kazi yote niliyofanya. Je? Kitengo husika hakuna ya kutetea Ndg ze2 wanaofanya kz pale? WANAJf! NI MAWAZO YANGU TU,Nawakilisha na twendeni pamoja. Asanteni!