Tetesi: China ikiwa super power dunia itayumba, Mungu epushia mbali

Tetesi: China ikiwa super power dunia itayumba, Mungu epushia mbali

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ee mungu tunaomba iepushe dunia kwa China kuwa super power sababu tunazo cc wanadamu ngoja tukuambie Ee mungu tusikilize
 
China tayari ni super power, sijui unaongelea nini wewe.
Labda unaongelea kua the top country in terms of economy kitu ambacho ni inevitable ndani ya miaka michache itakua hivyo maana sasa hivi ni namba mbili.
Wanachoniacha hoi wachina ni kujenga cities kubwa alafu hakuna mtu hata moja anaishi, zipo abandoned tu. Pesa zimezidi wanatupa huko huku wachina wengi masikini wa kutupa.
 
Kuwa super power si kuwa na uchumi mkubwa tu, kuna uwezekano wa China ndani ya miaka ijayo ikaweza kufikia kiwango cha kuwa na uchumi mkubwa kutokana na uwekezaji wake sehemu mbalimbali duniani . Uwekezaji wa China sehemu mbalimbali duniani mpaka sasa ni zaidi ya dola 6.4 Trillion na kuna uwezekano ikafikia dola Trillion 20 mwaka 2020 kwa sasa China amejiimalisha sana kwenye uwekezaji wa Outbound Foreign Direct Investment (OFDI) mpaka 2020 China ndio anaweza kuwa mwekezaji mkubwa kabisa Duniani na kuziacha nchi za Ulaya na US so China ni future Big boss siku zijazo na pia nchi nyingi zinaiona China kama option badala ya US na Ulaya. China kupitia Bank zake za BANK OF CHINA,AGRICULTURAL BANK OF CHINA,CHINA CONSTRUCTION BANK na INDUSTRIAL AND COMMERCIAL BANK kwa pamoja wana wana hifadhi ya dola 10.68 Trillion fedha ambayo ni zaidi ya uchumi wa nchi zote duniani kasoro US na China wenyewe pia China amewekeza kiasi cha dola Trillion 2 kama Treasury Bonds ndani ya US Federal Reserve na kuifanya China kuwa ndio nchi pekee yenye kiwango kikubwa sana cha hifadhi kubwa ya dola kuliko nchi zingine zote tukitoa U.S lakini pamoja na kuwa na kiwango kikubwa cha dola lakini bado US wameweka mfumo ambao unalinda fedha yao popote ilipo duniani dhidi ya matumizi na transaction zinazofanyika Duniani zinakuwa controlled na wao

Kuwa super power si kuwa na mafedha pekee kuna vitu vingine kama 12 ambavyo kwa pamoja vinaweza kukufanya kutambulika kama super power japo hakuna kikao chochote kiliwai kukaa sehemu yeyote Duniani na kumchagua Super power wa dunia ila kupitia vigezo hvyo unaweza kuona mfano tu wa top 5 super power country ni United States,Russia,China,India na United Kingdom ukiangalia Russia amemzidi China wakati China ipo mbali kiuchumi na kimaendeleo

Vipo vigezo 12 lakini tukiangalia vigezo vitatu ambavyo ni
1 Economic
2 Political
3 Military

1 Uchumi hapa ni nchi mbili ndizo zinashindana yani US na China mujibu wa US Department of Commerce na U.S. foreign direct investment (FDI) kwa China ni $ 74.6 billion huku uwekezaji wa China yani Chinese foreign direct investment (FDI) kwa U.S ni $ 45.6 Billion ukiangalia US amewekeza China zaidi ya China walivyowekeza US, biashara kati yao kwa mwaka ni $648.2 billion huku export $169.3 billion na import ni $478.9 billion kwa upande wa data US anafaidika zaidi kibiashara kwa China kuliko China anavyofaidika kibiashara kwa US kumbuka uti wa mgongo wa uchumi ni Biashara Note: hapa tumeangalia biashara kati ya hawa washindani wawili bila kuhusisha nchi zingine . kumbuka ukitaka kuishi vizuri duniani lazima uwe na access ya vitu vitatu navyo ni
A FEDHA ni dola ambayo inatumika dunia nzima
B WAKILI MZURI ni Umoja wa Mataifa ambao uko ndani ya U.S, New York pale kuna kitengo kinaitwa baraza la usalama
C DOCTOR ni Nguvu za kijeshi na kiuchumi


2 Political ni ukweli usiopingika kuwa China hana ushawishi wa kisiasa duniani zaidi ya ushawishi wa kifedha na uwekezaji kumbuka siasa ina nguvu sana naweza kusema kuliko kitu chochote duniani China yeye hana mpango kabisa wa kuingilia matatizo ya nchi zingine kisiasa au kijamii na Itachukua muda mrefu sana kuja kumsikia China akikemea maovu yanayofanywa na wanasisa au nchi dhidi ya wanajamii ,raia au nchi jirani kwani tunapaswa kujua wachina hawajui siasa , Democrasia au haki za binadamu kwani mfumo wao unawanyima wananchi kuenjoy siasa na Democrasia ndo maana unaweza kuona wachina wengi hawaheshimu mifumo ya kisiasa,kijamii,kisheria za nchi zingine hasa wakiwa nje ya china kwa sasa China yeye bado anatafuta marafiki tu na nia yake ni kuwa kama US so wakati unajenga nyumba hutakiwi kugombana na mafundi kwani wanaweza kukujengea vibaya na nyumba ikabomoka muda mfupi . China now anajenga so anaitaji kuwa na marafiki wengi sana kuliko maadui so kwa vigezo hvyo china anapoteza ushawishi wa kisiasa kitu ambacho ni muhimu sana kuelekea njia ya kuwa super power dhidi ya mshindani wake US

3 Military
 
China Hana sera ya kudhibiti magaidi ya kiislamu ulimwengu utakuwa sehemu hatari sana magaidi ya kiislamu yakiachwa yamee
Hakuna magaidi wa kiislamu,hao magaid wanatengenezeshwa na hao unaowaona wabaki kuwa super power.Siku zote mnatolewa ushahidi wa kuonyeshwa jinsi hao magaidi wanavyotengenezwa,lakini mnajifanya hamuelewi.
 
Ili dunia iwe salama mungu aliruhusu hawa wazungu kuitawala hii dunia,nje ya hapo dunia itakuwa sio sehemu salama kwa mwanadamu pia mpango wa mungu kwa mwanadamu hakukosea kuwapatia hii dunia wazungu ili waiongoze.......
 
Hakuna magaidi wa kiislamu,hao magaid wanatengenezeshwa na hao unaowaona wabaki kuwa super power.Siku zote mnatolewa ushahidi wa kuonyeshwa jinsi hao magaidi wanavyotengenezwa,lakini mnajifanya hamuelewi.
Hapana, unachokisema ni propaganda ya kuficha ukweli lakini ukweli ni kuwa ugaidi upo na hiki kitu kinachoitwa ugaidi ni harakati zinazofanywa na watu kupigania maslahi yao ambayo yanaweza yakawa ya kidini, kisiasa au kiuchumi sasa uhalali au uharamu wa harakati hizo hutofautiana kadiri ya mitazamo ya watu.
 
China Hana sera ya kudhibiti magaidi ya kiislamu ulimwengu utakuwa sehemu hatari sana magaidi ya kiislamu yakiachwa yamee

Mkuu una maana gani unaposema 'Magaidi ya Kiislamu'? Kuna uhusiano wa wazi kati ya Ugaidi na imani ya dini ya Kiislamu?
 
China Hana sera ya kudhibiti magaidi ya kiislamu ulimwengu utakuwa sehemu hatari sana magaidi ya kiislamu yakiachwa yamee

Wanao finance ugaidi ni marekani mnaogopa china atamaliza tabia zenu za ushoga
 
Kuwa super power si kuwa na uchumi mkubwa tu ambapo kuna uwezekano wa China ndani ya miaka ijayo ikaweza kufikia kiwango cha kuwa na uchumi mkubwa utokana na uwekezaji wake sehemu mbalimbali duniani . Uwekezaji wa China sehemu mbalimbali duniani mpaka sasa ni zaidi ya dola 6.4 Trillion na kuna uwezekano ikafikia dola Trillion 20 mwaka 2020 kwani kwa sasa China amejiimalisha sana kwenye uwekezaji wa Outbound Foreign Direct Investment (OFDI) mpaka 2020 China ndio anaweza kuwa mwekezaji mkubwa kabisa Duniani na kuziacha nchi za Ulaya na US so China ni future Big boss siku zijazo na nchi nyingi zinaiona china kama option baada ya US na Ulaya pia ikizingatiwa China pamoja na mabank yake wana wana hifadhi ya dola 10.68 Trillion fedha ambayo ni zaidi ya uchumi wa nchi zote duniani kasoro US na China wenyewe pia China amewekeza kiasi cha dola Trillion 2 kama Treasury Bonds ndani ya US Federal Reserve na kuifanya China kuwa ndio nchi pekee yenye kiwango kikubwa sana cha hifadhi kubwa ya dola kuliko nchi zingine zote tukitoa U.S lakini pamoja na kuwa na kiwango kikubwa cha dola lakini bado US wameweka mfumo ambao unalinda fedha yao popote ilipo duniani dhidi ya matumizi na transaction zinazofanyika Duniani zinakuwa controlled na wao

Kuwa super power si kuwa na mafedha pekee kuna vitu vingine kama 12 ambavyo kwa pamoja vinaweza kukufanya kutambulika kama super power japo hakuna kikao chochote kiliwai kukaa Duniani na kumchagua Super power wa dunia ila kupitia vigezo hvyo unaweza kuona mfano tu wa top 5 super power country United States,Russia,China,India na United Kingdom ukiangalia Russia amemzidi China wakati china ipo mbali kiuchumi na kimaendeleo

Vipo vigezo 12 lakini tukiangalia vigezo vitatu ambavyo ni
1 Economic
2 Political
3 Military

1 Uchumi hapa ni nchi mbili ndizo zinashindana yani US na China mujibu wa US Department of Commerce na U.S. foreign direct investment (FDI) kwa China ni $ 74.6 billion huku uwekezaji wa China yani Chinese foreign direct investment (FDI) kwa U.S ni $ 45.6 Billion ukiangalia US amewekeza china zaidi ya china walivyowekeza US, biashara kati yao kwa mwaka ni $648.2 billion huku export $169.3 billion na import ni $478.9 billion kwa upande wa data US anafaidika zaidi kibiashara kwa China kuliko China anavyofaidika kibiashara kwa US kumbuka uti wa mgongo wa uchumi ni Biashara Note hapa tumeangalia biashara kati ya hawa washindani wawili bila kuhusisha nchi zingine . kumbuka ukitaka kuishi vizuri duniani lazima uwe na access ya vitu vitatu navyo ni
A FEDHA ni dola ambayo inatumika dunia nzima
B WAKILI MZURI ni Umoja wa Mataifa ambao uko ndani ya U.S, New York pale kuna kitengo kinaitwa baraza la usalama
C DOCTOR ni Nguvu za kijeshi na kiuchumi


2 Political ni ukweli usiopingika kuwa China hana ushawishi wa kisiasa duniani zaidi ya ushawishi wa kifedha na uwekezaji kumbuka siasa ina nguvu sana naweza kusema kuliko kitu chochote duniani china yeye hana mpango kabisa wa kuingilia matatizo ya nchi zingine kisiasa au kijamii na ttachukua muda mrefu sana kuja kumsikia China akikemea maovu yanayofanywa na wanasisa au nchi dhidi ya wanajamii ,raia au nchi jirani kwani tnapaswa kujua wachina hawajui siasa , Democrasia au haki za binadamu kwani mfumo wao unawanyima wananchi kuenjoy siasa na Democrasia ndo maana unaweza kuona wachina wengi hawaheshimu mifumo ya kisiasa,kijamii,kisheria za nchi zingine hasa wakiwa nje ya china kwani yeye bado anatafuta marafiki tu na nia yake ni kuwa kama US so wakati unajenga nyumba hutakiwi kugombana na mafundi kwani wanaweza kukujengea vibaya na nyumba ikabomoka muda mfupi . China now anajenga so anaitaji kuwa na marafiki wengi sana kuliko maadui so kwa vigezo hvyo china anapoteza ushawishi wa kisiasa

3 Military
We jamaa akili yako inafanya kazi vzr sana,big up sn
 
China Hana sera ya kudhibiti magaidi ya kiislamu ulimwengu utakuwa sehemu hatari sana magaidi ya kiislamu yakiachwa yamee
aiseeee ..kuna watu fikra zenu zimelala ..yaani mpka leo hiz habari za magaidi hamjui kuwa zinaletwa na nani ??
 
Tayar n super power lakn maisha ya raia Weng n masikin
 
Hakuna magaidi wa kiislamu,hao magaid wanatengenezeshwa na hao unaowaona wabaki kuwa super power.Siku zote mnatolewa ushahidi wa kuonyeshwa jinsi hao magaidi wanavyotengenezwa,lakini mnajifanya hamuelewi.
Magaidi wa kiislamu wapo
 
Back
Top Bottom