Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
China imetangaza maambukizi mapya 13,146 ya #COVID19 ambayo yametajwa kuwa ni makubwa kuliko yaliyowahi kuripotiwa tangu Februari 2020
Kirusi cha Omicron kimesambaa majimbo mengi. Maelfu ya watu wamewekwa karantini huku nchi ikilazimika kufungwa kwa siku zisizojulikana kudhibiti maambukizi
Hata hivyo, hakuna kifo kilichorekodiwa hadi sasa.