leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Habar ya jumapilli samahanini kwenye mpangilio wa uandishi siko vizuri ilimradi ujumbe tu viusemi unaosema hamna mfanya biashara anaye fanyia hasara Ndo yametimia Viongozi wa Africa walikusanyana wanaenda China kwamba ndo mwekezaji mwenye masharti nafuu Haijapita hata wiki wanataka kuchukua uwanja wa ndege na shirika la umeme Sasa nasi njia hiyo hiyo eti wana masharti nafuu unafuu ndo nn?
Umeeleweka vizuri tu!Habar ya jumapilli samahanini kwenye mpangilio wa uandishi siko vizuri ilimradi ujumbe tu viusemi unaosema hamna mfanya biashara anaye fanyia hasara Ndo yametimia Viongozi wa Africa walikusanyana wanaenda China kwamba ndo mwekezaji mwenye masharti nafuu Haijapita hata wiki wanataka kuchukua uwanja wa ndege na shirika la umeme Sasa nasi njia hiyo hiyo eti wana masharti nafuu unafuu ndo nn?
Kama hujaelewa subiri nkatafute ubao na ChakiKwakweli haupo vizuri katika upangiliaj, hata hivyo sijakuelewa.
Kaenda Mwakilishi wake ndo anatilia saini makubaliaono husika kulingana na mamlaka aliompa wakati huo kwahyo kahudhuriaNdo maana rais wetu hataki ujinga kwenda kujipendekeza kwa mabwanyenye