China plans big expo in Dar es Salaam ON September 10 to 13

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
[h=2]China plans big expo in Dar es Salaam[/h]




[h=3]Some 500 world famous Chinese companies are expected to take part in Brands of China African Showcase 2013 slated for September 10 to 13, this year, at the Diamond Jubilee Hall in Dar es Salaam.[/h]


A statement issued by China Foreign Trade Guangzhou Exhibition General Corporation said the exhibitions seeks to strengthen economic and trade ties between China and Africa. The first African showcase was held last year in Tanzania.
“This year, the showcase will bring together 197 exhibitors from 14 provinces and municipalities in China including World’s top 500 well-known Chinese companies,” reads part of the statement. “China is willing to strengthen cooperation with African countries in broad range, promote common prosperity and upgrade the China- Africa strategic partnership to a new level.” The statement touts the showcase as an important platform for economic and trade exchanges and play an active role in achieving common interests and win-win outcomes between China and Africa. Trade between the two partners is growing rapidly. Last year, trade volume reached 198.5 billion US dollars, a 19.3 per cent year-onyear increase, which is 13.1 percentage points higher that China’s overall foreign trade growth rate. China’s imports from Africa totaled 113.17 billion US dollars in 2012, up by 21.4 per cent compared to imports recorded in 2011. The country has remained the largest trade partner of Africa for four consecutive years. Accommodated to African market needs, the China African Showcase 2013 will exhibit four categories of products namely machinery and vehicles, home appliances, electronic communications, solar energy and related products in addition to consumer goods and building materials, chemicals, medical and comprehensive products.
 
Chonde, chonde atokee mtu awapasulie jipu atutaki bizaa zinaaribika baada ya wiki!
 
Ningependa bunduki ziwepo maana china kwenye silaha nasikia hawana feki... ukiwa huamini unatestiwa unasimama mbele unalengwa wanahakikisha lazima ufe...
 
Chonde, chonde atokee mtu awapasulie jipu atutaki bizaa zinaaribika baada ya wiki!

hata wakuu wa CCM hawathubutu sema..china watawapiga mkwara ,kwa kuwaambia nao walikuwa wanafikiria toa statement kuhusu kadhia ya madawa ya kulevya.
 
Ningependa bunduki ziwepo maana china kwenye silaha nasikia hawana feki... ukiwa huamini unatestiwa unasimama mbele unalengwa wanahakikisha lazima ufe...
Huenda zipo feki. Bomu la Olasiti lilitengenezwa china! Bomu la Soweto na risasi zilitengenezwa china. Nahisi hata hizo kuna feki na na mabomu yale ni sampuli ya feki.
 
Chonde, chonde atokee mtu awapasulie jipu atutaki bizaa zinaaribika baada ya wiki!


Almost every product in USA stores made in China.

Is up to you to choose kna vile sahani ukimaliza kula unatupa na kuna zingine unaosha unarudisha kabatini ila bei ni tofauti.Same thing here unataka pikipiki ya dola mia ifanane na ya dola elfu kumi no way.So ni juu yetu kuchagua China wanaweza tengeneza kitu kimoja kwa Quality tatu tofauti pesa yako tuu.
 
kun atofauti ya kuchagua kitu ukiwa na information zote na ukichgua kitu ukiwa umefichiwa vitu tofauti.....hiyo ni cheating.Bidhaa nyingine huwezi pima kwa macho....wala vifaa vya vya kawaida..hapa panahitaji sheria, ulinzi, viwango na watch dogs wengine.Huku uaminifu wa mtengenezaji na msambazi uwe km wanavyojitahidi wakiw akule uchina wanaposema wazi kuwa hiki kipo hivi na hivi.
 
Huenda zipo feki. Bomu la Olasiti lilitengenezwa china! Bomu la Soweto na risasi zilitengenezwa china. Nahisi hata hizo kuna feki na na mabomu yale ni sampuli ya feki.

Wachina ni wabakaji wa mali asile za waafrica, ndugu zangu, tunapotukanwa kuwa hatuoni mbali, mara nyingine ni ukweli, Hapo hayo mashirika 500 yatakapokuja. Cha kuujiuliza je hayo makontena yatakayo leta bidha zao, yatarudi china na nini ndani.

Mara nyingi utaona either itakuwa vipusa au madini yenye Thamani. Utaona kuanzia sasa bei ya kilo ya pembe ya ndovu bei imepanda, mkusanyo ushaanza, Copper itapanda, Dhahabu juu, TEAK WOOD, nk...

Serekali iwe macho, nina imani tutaibiwa Rasilimali zaidi ya $100,000,000.00 au zaidi, tusifurahi haya maonyesho ya kibiashara, huu ni ujanja, hata wa syria wanautumia sana.
 

Kuna shirika la viwango Tanzania TBS ...kama kuna haja ya kuweka sheria mpya kulingana na mzingira na iwe hivyo.

Ila uhuru wa kuchagua sio siku zote unamadhara,Mfano ;Kabla ya pikipiki za mchina nimeshuhudia watu wanasafiri zaidi ya 100Km kwenda hospitali ila sasa vijijini familia nyingi zina uwezo wa kumiliki pikipiki kwa laki tatu pikipiki ukitumia zaidi ya miaka miwili iwe kwa biashara au matumizi binafsi hakika ni faida tupu ie. it worth it.

Kwenye biashara market research huangalia demand and demographic (include income) most Tanzanian spend less than $1 ,hudegemei kuleta bidhaa za mamilioni as for high end .

Nakubaliana na ww kuwa mtu must be aware with the choices again TBS can regulate this issue.
 

Mimi nashangaa watu wanavyo react na hii issue ya China.

Mambo ya kulaumu contract watu wanazoingia wanawalaumu wafanya biashara ambao the goal of business is to make profit.Kama China anapata opportunity ya ku make profit atafanya hivyo as high as he can go.

Tunatakiwa kujilaumu sisi either kwa viongonzi kuchukua rushwa in the name of 10% takrima na kukubali madudu ktk mikataba au kwa umbumbumbu wao wa kuto ng'amua yaliomo(kuna wataalam wengi labda kama hawatumiki).
 
hata wakuu wa CCM hawathubutu sema..china watawapiga mkwara ,kwa kuwaambia nao walikuwa wanafikiria toa statement kuhusu kadhia ya madawa ya kulevya.

ha ha ha ha....wanaogopa jina miraji lisitajwe au? ha ha ha; wototo ndugu yangu wewe; unaweza ukute unachafuliwa hivihivi bila kosa. mungu atusaidie tu sisi wazazi ndugu yangu!.
 
Unfortunately I wont be around to attend this. Ila hawa jamaa .............
 

moral principles might find you simple minded. we protect helpless creatures to continue living using these rules. i disagree with your logic suggesting we choose bad stuff with our own free will. yes we choose with our free will toys that break on the first fall. you want me to NOT blame China? False! If you sell adulterated fuel to a person because that is what they can afford, knowing very well that fuel will corrode the engine, you might be legally right--but you are definitely morally at fault. China should stop selling junk to us. No explanation justifies that behavior.
 

Talking about Moral (the principles of right and wrong behavior and the goodness or badness of human character) that may differ within societies for other societies condom business is immoral ........that's why in business we talk about "ethics" ...business ethics. KFC ,McDonald,and other fast food are considered unhealthy in USA ,is cheap ...most of low income can afford ,but also it is convenience so other people go there because it is convenience .Bongo ,,,,if you go to KFC you are high class.

TBS set standards for products and service which are business ethics and codes of conduct for the parts involved when it comes to standards .

China make high quality products,medium quality,and low quality products ....the quality reflects to the price is up to you ,everybody prefer high quality stuff but not everyone can afford ,,,,....for that reason China come with solution(by look on demand of certain demographics).eg. You can still buy motorcycle for $15,000 some with turbo(Suzuki Boulevard C109R-engine :1783 cc V-twin)and enjoy life and those who can't afford china has solution with $200 you can own motorcycle ).

I'm going to provide with a vivid example ,hopeful think will be relevant ;near Mpitimbi village residents used to travel more than 100Km with bicycle to find hospital mostly were with pregnant women but after introduction of Mchina it easy to commute with motorcycle ..how can I be disrespectful to China? for selling my cousin in Mpitimbi motorcycle that last 5 Years for $200 ...does it worth it? .Utalalamika kwa nini sahani ya kalatasi umetumia siku moja wakati imefikisha malengo?

Lets TBS play its part , regulate products' quality and standards mostly should check for stuff that may bright harm for human being .
I think most of us don't like to be tricked ,I'm against that too.
 
wachina wanaiba kilakitu africa..jinsi wanavyozidi pata hela ya kuuza hizi fake ndivyo wanavyoweza pandisha dau kirahisi la pembe za ndovu na Faru...Nairobi kashikwa mwanamke wa kichina akiwa na kilo kadhaa za meno ya Tembo.
 
wachina wanaiba kilakitu africa..jinsi wanavyozidi pata hela ya kuuza hizi fake ndivyo wanavyoweza pandisha dau kirahisi la pembe za ndovu na Faru...Nairobi kashikwa mwanamke wa kichina akiwa na kilo kadhaa za meno ya Tembo.


Hapa ndipo napochoka, tunaacha kujilaumu kwa kuachia maliasili kuibiwa tunalaumu wengine....China ukishikwa na unga ni kitanzi ama usaini mikataba 17 mikubwa in exchange hahaaaaaa hawachezi .
Kwenye business unaambiwa you have to adapt culture ya sehemu husika ,if you have to lobby by takrima do that,China anafanya business dunia nzima ,anafanya business na USA ,ila anavyoenda USA ana adapt culture yao,China anaikopesha pesa USA,product nyingi USA made in China,hata desiners wengi wamepeleka viwanda China.Akija bongo atafanya chochote tunachotaka afanye ili business iende, maana asi
pofanya wengine watafanya mfano unaona huyu mwingereza aliyekamatwa na Nyara (mwenye kampuni ya TALL mshirika wa Kinana)si mchina huyu .

My point ni kuwa tatizo ni sisi tusipoliona hili basi ni tatizo jingine.Just imagine Jeshi linaingia kwenye hujma za kusafirisha wanyama ,jangiri wa wanama ni katibu wa chama kinachotawala ,Cant you see tatizo ni sisi.Halafu si tatzo la CCM tuu ni tatizo la jamiii ya kitanzania,jamii isipobadilika hata upinzani ikichukua nchi itakuwa vilevile maana jamii si ileile.

NB
vijana pingeni matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume nyingi wanatumia pembe za faru ahahaaaaaa
 

kuna vitu china wanaweza fanya vyema,ni wababe sana.Na raia waow aio na hasara kwa nchi yao ila wanafaida kwa nchi yao hata kam wanafanya uhalifu nje ya nchi hawana shida.Na mrara nyingine wakishikwa wachina hupambana kibabe.Ila ikitokea kimetokea ktk ardhi yao hakuna mchezo, au wakifanyia hujuma miradi ya china nje pia wakifika kwao tuu laziam kifo.

Sijui hii tread mpya ya kubadili kifo na dili itakwendaje ktk hii miaka ya ushidani kimataifa..na njia rahisi ya kununua Africa...Kweli wabongo ni vichwa ktk kuajiuza km wana wa israel walivyojiuza misri kwa njaa.

Haha...dawa za kuongeza nguvu za kiume......niliwahi pia kuweka thread humu ndani kulalamikia matumizi mabya ya hizi dawa kwa watu wasiofanya kazi, muda wote wanakuwa naive, na akili kutofikiri mamabo ya maana tena,zaidi ya ngono, wizi na vurugu.
 
Binafsi, kama Mtanzania, huwa ninasikitika sana Watanzania tunapopiga kelele kuhusu bidhaa za China kuwa feki, n.k. wakati hatufanyi jitihada zozote za kueleweka katika kutengeneza bidhaa zetu wenyewe ukiondoa magumashi kama ya ARV feki za Arusha. Okay, bidhaa za China feki, so what? Tunafanya nini kupata alternatives zaidi ya blah, blah kibao? Hii sawa na kuwapiga vijembe sista-poa wa Kinondoni kwa huduma wanazotoa wakati kuna willing buyers! Anywayz, ninawaaminia Wachina kwa historia yao, uchapa kazi wao, innovations zao na hasa kwa sababu wamerahisisha maisha ya Mtanzania hasa vijijini. Solution ni sisi wenyewe wa-Tanzania kufunga soko letu kwa kuzalisha vyetu vyenye ubora tunaoutaka. Change ni Mimi na Wewe! Vinginevyo tuendelee kuwa wapole na kuwa dumping area ya, sio Wachina tu, hata nchi za Magharibi ambao wanaongoza propaganda mbaya juu ya kila kitu cha China. Binafsi, ninaamini maonesho hayo ya Wachina yanaweza kuwa na maana kuliko Maonesho ya Sabasaba ambako hapakuwa na tofauti na Kariakoo!
Nitakuja kujionea Agromachines za Wachina ili, ikiwezekana, angalau Bibi yangu kule Sumve aache kupanda na kuvuna mpunga wake kwa vidole!
BTW, ninatumia "Mchina" kuchangia kwenye huu uzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…