China regrets fakes inflow into Tanzania

tatizo la vitu feki linasbabishwa na wafanyabiashara wa TZ
ukienda china, wachina wanakuambia unataka quality gani hawakudanganyi hata kidogo, wanakuonyesha na wanakuambia ubora wake
ila wafanyabiashara waTZ wanachukua zile mbaya kwa bei rahisi na kuja kutugonga na ukiwauliza wanakuambia wachina, ila ni wao wenyewe ndio wanafanya hivyo kwa maksudi kabisa na wakifika bongo wanahonga ili vitu vipite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…