China SCholarship na kulipa mkopo wa HESLB

Albizo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
284
Reaction score
208
jaman nimesikia huwez kupata hizo schoolarship za china mpaka uwe na evidence kutoka loan board kwamba umeanza kulipa, mimi nimemaliza 2013 bado sijaanza kulipa, na ninataka hiyo scholarshp, mwenye info ya kupata hiyo evidence na kiasi cha kulipa ni tsh ngap, na mwenye uwezo wa kunisaidia nipate hiyo schoolarshp plz plz tuwasiliane
 
Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu ndipo pana shida kidogo. watanzania wenzangu tuwe na utamaduni wa kutafuta taarifa sahihi mahala sahihi kwa wakati sahihi, hebu tuache hizi habari za "nimesikia". Kama uko DSM nenda wizara ya elimu , jengo la sera na mipango ELIMU YA JUU chumba namba 28 na 29 pale kuna wahusika wameajiriwa kuwatumika watanzania, kuuliza taarifa ni haki yako ya msingi, tusiziogope zile ofisi(japokuwa jiandae pia kisaikolojia mana wakati mwingine kuna wenye majibu ya "shombo" pale). Pia tovuti ya wizara ina maelezo yote.
1. Baada ya tangazo kutoka unaandika barua ya maombi na kuweka viambatanisho vyote vinavyohitajika kama tangazo lilivyoeleza. kisha unatuma wizarani/ peleka masijala kwa mkono(kile kipengele cha HESLB mara nyingi kinatumika hatua ya mwisho kama ntakavyoeleza hapo chini,sijajuwa kwa mwaka huu inakuwaje)
2.Baada ya kuchambua maombi, wale wenye sifa wataitwa na kupewa maelekezo ya kujaza fomu online na kuambatanisha vitu vyote vi navyohitajika. kisha watapeleka tena wizarani kwa mkono kwenye moja ya vyumba nilivyotaja hapo juu.
3. maombi hayo yatapelekwa China scholarship council (CSC) kupitia ubalozi wa china TZ. NB: ubalozi wa china haupokei maombi binafsi, mamlaka yote wameipa wizara, kwa hiyo ukipeleka maombi ubalozini watakurudisha nayo na watakwambia uende wizarani.
4. baada ya china scholarship council kuridhika na sifa zako wanakupa udhamini, na majibu wanayarudisha wizarani, na wizara inawaita tena kwenda kuchukua "Admission notes" ili muweze kwenda kuombea visa ubalozini
5. utakwenda na admission notes yako ubalozi wa china Tz ili kufanya mchakato wa visa.
6.Kama unaweza kujilipia nauli mwenyewe hadi china, huna haja ya kwenda HESLB, ukishapata visa, utanunua tiket na kujiondokea zako mpaka chuo ulichopangiwa
7.Ikiwa ni mwenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi, itakulazimu uende HESLB na kuwaomba wakupe mkopo wa kununua ticket. hapo sasa ndio bodi watataka uthibitisho kama umeshaanza kulipa mkopo ikiwa shahada yako ya kwanza ulisoma kwa mkopo wa bodi. kama hujaanza kulipa ,watataka kwanza ulipe faini ikiwa umechelewa kulipa kwa wakati na uwaeleze namna ambavyo utaanza kulipa deni lako kabla hawajakupa mkopo mpya.utakapolipa hiyo faini na kuonesha namna utakavyokuwa unalipa deni lako ,ndipo watakupa barua sasa kwamba wewe umeshaaanza kulipa deni na watakuingiza kwenye mchakato wa kuomba mkopo wa pili.kwa hiyo utaona hatua hii inakuja wakati tayari ukiwa umeshapata scholarship, kwa hiyo kupata scholarship hakuhusiani kabisa na habari ya bodi ya mikopo.Nakutakia kila l kheri, mimi nimeongea kwa uzoefu tu nilionao , ila kama kuna kilichobadilika kwa sasa katika utaratibu basi NIPO TAYARI KUKOSOLEWA.
Pole kwa kusoma maelezo marefu!
 
Xiexie,
Your very,
Asante sana,
Mara nyingine huwa sitegemei kupata msaada kama ulio toa wewe(expensive advise) kilaisi hivi.
 
Ubarikiwe Mkuu kwa detailed taarifa.
 
thanks kwa info, ila juzi tu ndo nimetoka kwenye hiyo ofice uliyo sems hapo juu ndo nikaambiwa nilazima uwe na hiyo evidence kutoka board ndo utapata hiyo schoolarship coz ipo kwenye guidelines zao a long as unaomba schoarship from any friendly country
 
Ok asante mkuu kwa updates, ndio maana nkasema hapo juu" mimi nimeongea kwa uzoefu tu nilionao , ila kama kuna kilichobadilika kwa sasa katika utaratibu basi NIPO TAYARI KUKOSOLEWA."
 
Asante wadau kwa michango mizuri yenye afya, swali langu ni dogo la ufahamu tu, wakati unafanya application ya kwenda wizarani je uta certify vyeti za vyuo? au just 4tocopy and send?
Just knowing wengine hatujawahi kufahamu mambo ya serikali jinsi inavyokwenda!
 
Mkuu kama umesoma vizuri tangazo kwennye www.moe.go.tz utaona katika hatua hii ya awali si lazima ku"certify" vyeti, isipokuwa katika hatua ya pili ambapo "nominated candidates" ndio watatakiwa kupeleka nakala za vyeti vilivyokuwa"certified".hili hata kwa miaka ya nyuma ilikuwa hivyo.JAPOKUWA sioni tatizo kama uta"certify" vyeti vyako kwa sababu inamuaminisha yule unaemtumia,na pia hata kama hutavitumia katika hatua hii lakini katika michakato mingine utatumia.
Kwa gharama za serikali(risiti ya serikali inatolewa) kwa mwaka 2012 ku"certify" cheti ilikuwa ni Tsh1500tu mahakamani, sijajuwa kwa sasa ila naamini haijapanda sana.kila la kheri
 
Nimeenda board ya mikopo.nimeambiwa huwa ---------- majina na wizara husika kuangalia kama unalipa au la!
 
Hivi kwa mfano mimi naapply scholarship directly kwa nchi kama UK na sipitii wizara yetu ya elimu itakuwaje? Maana kuna scholarships zingine nimeona mtu anaweza kuapply mwenyewe moja kwa moja au kwenda kwenye nominating committee of British Council hapa Tanzania. Au scholarships zote lazima ziwe na mkono wa baraka toka MoEVT and HESLB?
 
Back
Top Bottom