China Scholarships kutoka Nishati na Madini

China Scholarships kutoka Nishati na Madini

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Habari wanajamii,
Kuna mtu yoyote alieitwa katika zile scholarships zilizotolewa na Serikali ya china katika wizara ya Nishati na Madini,kwa alieitwa naomba tufahamishane mana washawafahamisha all shortlisted ila sijajua wanaitwa lini
 
Back
Top Bottom