jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,089 Reaction score 424 Apr 15, 2013 #1 Habari wanajamii, Kuna mtu yoyote alieitwa katika zile scholarships zilizotolewa na Serikali ya china katika wizara ya Nishati na Madini,kwa alieitwa naomba tufahamishane mana washawafahamisha all shortlisted ila sijajua wanaitwa lini
Habari wanajamii, Kuna mtu yoyote alieitwa katika zile scholarships zilizotolewa na Serikali ya china katika wizara ya Nishati na Madini,kwa alieitwa naomba tufahamishane mana washawafahamisha all shortlisted ila sijajua wanaitwa lini