China with Ethiopia.. Japan with Kenya..

Huyo jamaa anateseka akitafuta attention...
Huu uzi ukijadiliwa kitaalam utakua mtamu.
Tittle yenyewe siyo ya kitaalam.. Eti Kenya na Japan wakati mradi wenu mkubwa kuliko yote toka Kenya iitwe Kenya una endelea na Feasibility study, Financer, contractor, consultant ni MCHINA. Haishii hapo, mafundi wametoka china, operator wa mradi for the coming 10yrs ni Mchina, rail track ni Chinies standard, Locos made in China. Tittle ilibidi iwe Ethiopia na Kenya all for China [emoji13]
 

Jadili taarifa zenyewe wachana na title
 
Wakenya siku hizi wanachanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…