China yagundulika kuwapa mafunzo ya kijeshi magaidi wa kipalestina!!

China na vita wapi n wapi? Walipigana vita gani na kushinda

USSR
 
Uzuri hayo magaidi yataishia tu kubweka bweka maana hawana lakuifanya china
China imetoa onyo kwa Israel kuacha kuipora West Bank kutoka Palestina. Cha ajabu zimeanza propaganda kibao ili China ionekane ni mfadhili wa ugaidi na kelele zingine.

Iran imewashinda ndio watawaweza China?
 
Wazayuni wa jf na shoga zao wanateseka sana
Wanajua kuchamba umbea tu baaaas
 
China imetoa onyo kwa Israel kuacha kuipora West Bank kutoka Palestina. Cha ajabu zimeanza propaganda kibao ili China ionekane ni mfadhili wa ugaidi na kelele zingine.

Iran imewashinda ndio watawaweza China?
Wajinga tu na wapumbavu kama wewe ndiyo watasema Iran imewashinda!!
 
Attachments

  • ec24d6aac4023b9586407b1f9543216b.mp4
    6.8 MB
PA ni mamlaka ya Palestine,Hawa wanamiliki silaha na wana jeshi!
Hao PA wamekuwa wakilaumiwa na wananchi kuwa hawasaidii chochote maana Israel akitaka kuvamia westbank huko,anawapa taarifa kisha hao PA wanaondoka eneno husika,Israel anaenda anafanya yake na kuchukua mateka wapalestina!Ndio maana Kuna vikundi vimeanzishwa baada ya kuona PA Haina faida!
Sasa nashangaa unawaita PA magaidi,ni ajabu!
Hao wanapewa Hadi mgao wa fedha na Israel kama Kodi kwa kuikalia westbank Halafu unawaita magaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…