China yaguswa na wabunge Tanzania kuhamia CCM

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,437
Reaction score
1,883
Wimbi la wabunge kuamia ccm limefika nchini CHINA mbunge wa nchi hiyo nae ameamua kuunga juhudi za Rais mkono kaingia CCM leo tunategemea jina lake kupitishwa kugombea kati ya hapa hapa Tanzania kati ya Liwale au China jimbo la Ju Se Park Son.


chit chat
 
Kama utakumbuka kwenye daftari la kudumu la wapigakura 2015 kulikuwa na picha za wachina pamoja na majina kujirudiarudia bila shaka ndio hawa wameanza kufanya campaign.
Siku zote ccm hushirikiana na wezi wenzao kwenye mambo ya uchaguzi
 
Hahahaha
Swafiiii sana walahi uwiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…