bonge la ubunifu kwa bongo tunaitaji kwa jinsi tunavyopoteza mda mwingi kwenye foleni nilishawai mkushikwa na tumbo nataka kuwai nyumbani nikakumbana na foleni kwa kweli sitaki kusimulia kwani na mkojo ukaongezea mh
ni ubunifu mzuri,but harufu je?alafu kwaiyo inakuwa ni kama poti ya mtoto heeeeeeeee?badae ukifika inabidi uitoe ili ukamwage uchafu!inaweza kuongeza kasi ya magonjwa kama UTI kwa wale wanaoazimisha magari.ni mtazamo tu