China's impact on Africa visible at Kariakoo market

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
I hope we will have good and in depth analysis on Chinese in Tanzania instead of cheap generalization responses that are something of a norm

kama mtu hana data wana analysis bora asome kisha awapishe wengine...


http://www.timesonline.co.uk/tol/news/world/africa/article6907920.ece
 
Ipo siku tutagundua jinsi jamaa walivyo hovyo hawa.
 
what is wrong with wachina? it seems we have more problems with Kenyans coming to do Business in TZ lakini wachina ndiyo hivyo tena.. au kwa vile wanafananafanana na wazungu.. don't ask me how!
 
Unlike Wahindi, I don't think they mis-treat workers. Do they?

Wanaongea kiswahili
Wanazaa na waswahili
Wanacheza muziki wetu!

....Let them bring challenge. One of the things we need is challenge, not misaada!
 
Ipo siku tutagundua jinsi jamaa walivyo hovyo hawa.

On the face of it wachina wanaonekana harmless lakini hakuna jamii yenye kujua ku exploit popote waendapo kama wachina tena mbinu zao wakati mwingine ni mbaya sana bora hata wahindi! Wana ukatili pia na ndio maana hadi sasa wapo walioweza kuua wafanyakazi wao kwa vikosa vidogovidogo tu.

Kibaya zaidi kokote waendako siyo Tanzania tu, hata Serikali mara nyingi haziwalengi kwa sababu hujifanya wana misaada,huduma hasa za afya na hata utaalamu kwenye maeneo mbalimbali tena kwa gharama nafuu.Ninasema hivi kwa kuzingatia kile walichofanya Afrika kusini.Mnaweza kusoma na kujionea wenyewe hapa:

In mid-1980's, Chinese criminal groups have become well-organized, modeled on the Triad societies of Hong Kong and China. They are now active in a number of South African cities, notably in Cape Town and Johannesburg; and they have branched out into a range of criminal activities, including various forms of fraud, drug-trafficking, firearms smuggling, extortion, money laundering, prostitution, illegal gambling, the smuggling of illegal immigrants, tax evasion, and the large-scale importing of counterfeit goods. The illicit harvesting and exporting of abalone, although still an important component of their criminal enterprises, is no longer the core activity of these groups.

The authorities have identified four major Chinese organized criminal groups: the Wo Shing Wo group, the San Yee On group, the 14K-Hau group, and the 14K-Ngai group. These groups act independently of Hong Kong and from each other in South Africa. The Taiwan-linked groups appear to be less structured and sophisticated than those linked to Hong Kong. Although there is very little intergroup violence, violence is sometimes used to eliminate competitors or to persuade debtors to repay money owed.

The Chinese criminal groups are involved in the corruption of public officials, mainly lower level officials in the Department of Home Affairs; this facilitates activities such as illegal immigration. South African law enforcement agencies should expect a considerable expansion of criminal activities by Chinese Triad-based criminal groups. To date, however, the measures taken by the South African Police Service to counter organized crime have not given much attention to Chinese criminal organizations. By 2000 there was still no dedicated police unit in place to monitor and investigate the activities of Chinese criminal organizations.

Hapo kwenye bold/underline ndicho haswa wanachofanya hapa TZ na mpaka tuje kushtuka..nadhani madhara yatakuwa makubwa sana.
 
tatizo langu mimi ni immigration policy za TZ? Inakuwaje watu wanaruhusiwa/wanapata vibali vya kuja kufanya kazi za chini nchini ambazo locals wanaweza kufanya? na kama wapo kinyume cha sheria wa depotiwe.... waziri masha vipi??? au ndio umekubali yale ya kapuya ya kusema waTZ sio waaminifu......
 

Unaweza kufikiri sheria za uhamiaji hazipo kabisa na kama zipo hazitekelezeki. Kingine ni RUSHWA iliyo kithiri pale uhamiaji na kwigineko serikalini.
 
I quote "Critics say Chinese traders also deal in drugs and prostitution and peddle counterfeit products alongside legal merchandise. Local officials dismiss such claims, saying they are largely prompted by frustrations from locals who are simply unable to compete"

Mie niliwahi kusema kuwa duniani wahindi ndo the cheapest pple followed by fucking chinese. Hivi lini ukategemea watu hawa wakawa wawekezaji wa kweli, yaani tunawaruhusu mpaka wawekezaji wa juice nchini!!! kweli TZ hakuna serikali. Hivi hao wazee wanaojiita directors na ministers huwa hawana masikio na macho?

Kumbuka Sarah Palin alipokuwa hongkong alisema wachina ni lazima wabadilike na tabia yao ya kuuza bidhaa fake duniani. Hili ni kosa kwa haki miliki na patents. Hawa watu ni cheap hawana lolote hapo kkoo waondoshwe, mwishowe wameona watuletee na malaya toka kwao, huu ni ushenzi isije kuwa wanaletwa wanawake wenye ukimwi kuua waTZ.
I m really dissapointed with this government.
 


Hoja yako inaleta uwiano maalum. Mnakumbuka wageni walivyoanza kukimbizwa kule South Africa? Bila policy zenye uwiano wa kueleweka, kinachotokea Angola leo, Tanzania itaepuka?


Gangs target Chinese in Angola, claims businessman
http://www.mg.co.za/article/2009-11-13-gangs-target-chinese-in-angola-claims-businessman

Angolan 'mafia targets Chinese'
http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8358919.stm

Chinese workers living in Angola targeted by gangs
http://china.globaltimes.cn/diplomacy/2009-11/485329.html


 

Attachments

  • 071123_IN07_vl-vertical.jpg
    27.2 KB · Views: 134
tatizo si wachina, vyombo vyetu vya sheria, yani ukiwa mweupe wee ni wa juu, hao wachina kufanya kazi bongo mie naona powa tu kama wanafuata sheria, si wameona kwao maisha siyo vile wamekuja kwetu tz kusaka life, ni kama baadhi yetu tunapoondoka bongo kwenda kwingine kusaka life,tunafanya kazi ambazo wazawa wanaweza fanya lakini kisheria, sasa hapo bongo mambo ni ovyo, katika maisha yangu yote ya bongo sijawai kuona polisi wakicontrol mtu pass barabarani, baadhi ya nchi nje, mtu kama makaratasi hayajakaa sawa ukiona polisi unabadili njia. kwahiyo muhimu tu waliopewa dhamana za kazi wafanye kazi zao ipasavyo.
 



unapoandika au unapoazima quote uwe unatoa reference

hiyo umeitoa hapa?

http://www.ncjrs.gov/App/publications/Abstract.aspx?id=202422
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…